Msiba

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Hapa chini ya Jua misiba iko aina nyingi.
Mf. Kufa, kuunguliwa nyumba, mafuriko, ukamenjaa n.k

Msiba niliyokutana nao leo ni pale nilipofika kwenye mji mmoja (nyumba) na kukuta :-
> Binti mjamzito.
> Mama yake binti mjamzimto.
> Bibi (Nyanya)
yake binti nae
mjamzimto.
Bibi mimba !
Mama mimba !
Mjukuu mimba !
Huu si ni Msiba ?
Bibi RIP!
 
> 1a. Binti mjamzito.
> 2a. Mama yake binti mjamzimto.
> 3a. Bibi (Nyanya)

yake binti nae
mjamzimto.

1b. Bibi mimba !
2b. Mama mimba !
3b. Mjukuu mimba !

Huu si ni Msiba ?
Bibi RIP!
Chukulia hivi:
Bibi
alipata ujauzito mara ya kwanza akiwa na umri wa miaka 16,
Mama wa binti,
akapata ujauzito akiwa na umri kama wa Mama yake (bibi), miaka 16,
Mjukuu
akipata ujauzito kama umri wa mama na bibi yake, miaka 16.
Basi Bibi atakuwa na umri kati ya miaka 48 na 50 alipochukua ujauzito mwengine, hapo sioni msiba bali furaha kwa sababu bibi bado anayaweza.
 
kuna workmate wangu alipata mjukuu akiwa 34, sasa imagine huyo mjukuu naye azae akiwa 16?
 
Mmmh! Mammamia!
Hata hivyo ngumu kumeza!
 
Walau huyo afadhali ! Fikiria huyu anae'coinceve akiwa na about 48!
Bado ana usongo na dushe! Aaagh!
 
Yaani kama wewe tunafanya kazi pamoja, I will kill u with my bare hands! Ni madame justice? Manake ukimuita bibi anakuwa mkaliii!
kuna workmate wangu alipata mjukuu akiwa 34, sasa imagine huyo mjukuu naye azae akiwa 16?
 
Chukulia hivi:
Bibi
alipata ujauzito mara ya kwanza akiwa na umri wa miaka 16,
Mama wa binti,
akapata ujauzito akiwa na umri kama wa Mama yake (bibi), miaka 16,
Mjukuu
akipata ujauzito kama umri wa mama na bibi yake, miaka 16.
Basi Bibi atakuwa na umri kati ya miaka 48 na 50 alipochukua ujauzito mwengine, hapo sioni msiba bali furaha kwa sababu bibi bado anayaweza.

Mmmh! Mammamia!
Hata hivyo ngumu kumeza!
 
Hapa chini ya Jua misiba iko aina nyingi.
Mf. Kufa, kuunguliwa nyumba, mafuriko, ukamenjaa n.k

Msiba niliyokutana nao leo ni pale nilipofika kwenye mji mmoja (nyumba) na kukuta :-
> Binti mjamzito.
> Mama yake binti mjamzimto.
> Bibi (Nyanya)
yake binti nae
mjamzimto.
Bibi mimba !
Mama mimba !
Mjukuu mimba !
Huu si ni Msiba ?
Bibi RIP!

kweli wewe unajaji jaji sana kila kitu unamalizia kiulahisi tu eti msiba wakati wanafurahia kuongeza duniani idadi ya watu...:coffee:
 
Kweli msiba. Sipati picha wakijifungua, sijui watajihudumiaje?
 
itabidi aanze kujifungua mama ili bibi amkande, then anafatia bibi ili mama amkande mana hao wana uzoefu, wa mwisho awe binti ili ahudumiwe na wote,
 
Daaa.....hii imekaa vibaya, mama kumkanda bibi? Hii si mila yetu kabisa.
 
ndio itabidi iwe hivyo, kuliko mtoto kumkanda bibi na mama, ingawa bibi mwanae ni huyo mama, ila ashakuwa m2 mzima so inakuwa poa 2
 
Hapa chini ya Jua misiba iko aina nyingi.
Mf. Kufa, kuunguliwa nyumba, mafuriko, ukamenjaa n.k

Msiba niliyokutana nao leo ni pale nilipofika kwenye mji mmoja (nyumba) na kukuta :-
> Binti mjamzito.
> Mama yake binti mjamzimto.
> Bibi (Nyanya)
yake binti nae
mjamzimto.
Bibi mimba !
Mama mimba !
Mjukuu mimba !
Huu si ni Msiba ?
Bibi RIP!
mhusika mkuu isije kua mlinzi tu au mchunga mifugo
 
Back
Top Bottom