Poleni wafiwa,chanzo cha kifo ni nini? maana umeusisha kifo chake na ku-comment kwa rostam aziz kujivua gamba au kuna mkono wa R.A?
Mie siumjui marehemu ila ulichoandika hapa inaonyesha jinsi ulivyo finyu, huna mbele wala nyuma NA hauna akili za kuona kuwa amechangia mengi kwa waliokutana nae maishani mwakeWewe ukifa utakuwa umefanyia nini taifa letu?RIPmh amelifanyia nini taifa huyo profesa?
Hapana mkubwa, ndivyo alivyokuwa! Prof. Mushi was great proffesor ktk field ya sayansi ya siasa na utawala!Ulitaka awe legelege kama ******?RIP prof.Mushi.
Mkuu umande haujakukumba nin? Jamaa alikua ni hazina kwa taifa hususani ktk mambo ya utawala na siasa! Ngoja tukutoe porini!mh amelifanyia nini taifa huyo profesa?
Pole wafiwa. Aliyeuliza kalifanyia nin taifa yuko sawa.kuna maprof wengi wamejiingiza kwenye siasa au wamekuwa washauri wa viongoz wa taifa ili kwa mambo machafu.unaweza kuwa ulifundishwa lakin labda product yake ni watu hovyo,mafisad etc. Binafsi naungana na wanafamilia kuomboleza msiba ila ni bora pia tujue amefanyia taifa mabaya au mazuri.mifano tunao prof chachage, aroub othman hawa msimamo na mchango kwa taifa unajulikanaUpeo mdogo! Alinifundisha mimi na mamia ya Watanzania wengine. R.I.P Mwalimu wangu