Msiba wa mzee Mengi

Msiba wa mzee Mengi

ukiiangalia sana hii picha ya cargo air port huyu mke wa mengi amezungukwa na wanyarwanda kila aliyekuwa karibu nae kuna mdada mkaka na wengine sijui walinzi wote pua ndefu
Hii obsession na watu wenye kufanana na Watusi,haki ya nani!itawatoa roho.
Siku ukifika Kondoa,ukawaona warangi,utasema sio RAIA.
Nenda mafinga,ukaone wachina walivyojichimbia msituni,wana kiwanda cha ambao,wanavuna tu,harafu angalia ndugu zako wabongo wanavyotumikishwa.
Au nenda hapo urafiki,ubungo,ukaone hari za maisha ya wabongo.hata wakati wa kula wanatengwa,wawekezaji wanakula nje ya kiwanda,mbongo analazimishwa alie ndani ya bwaro chafu kama zizi
La nguruwe.
Unafikiri mwekezaji pale urafiki ni mnyarwanda?la hasha,yupo China man! Pale.
Mwenyeji wa Tunduma unafikiri atakuwa anafanana na RAIA wa nchi gani?lazima itakuwa anafanana,na anautamaduni kama watu wa Zambia.pale Tunduma,wenyeji wanasomesha watoto wao upande wa Zambia,hata lugha ya kiwemba,inazungumzwa sana.
Twende kigoma,unataka waha wafanane na nani?wafanane na wewe mzaramo,msukuma,au msandawe?wakati wapo karibu na jamii za Kirundi na kitusi!acha ufala,kwa taarifa yako tu,lugha ya waha,inafanana kabisa na kinyarwanda,ni kama kisukuma na kinyamwezi.
Sasa MTU anaasili ya Kigoma,Kagera,biharsmulo,ngara,unataka awe mfupi na pua bapa,kama wazaramo na Wakwere wa bagamoyo?
Wamasai wapo Kenya na TZ,tumeishawahi kuwa na waziri mkuu mmasai,mbona wao hamuwasemi,hatujawai kuwa na kiongozi mnyarwanda.Ass hole
 
Nenda Dr. Reginald Mengi, nenda mwana mwema na mwana halisi wa mama Tanganyika. May your memory be a blessing to the community and the country you served!!
 
Hivi kwani Mengi ndio mtu wa kwanza kufa? Ina maana ulikua hujui kuhusu kifo hadi Mengi alipofariki ndio maana unatuletea hizo ngonjera zako na mapicha?

Kila mtu atakufa ndio, lakini sio kigezo cha kutokutafuta hela eti kisa utaziacha hapa Duniani, kwani hapa Duniani si utaacha ndugu na watoto pia? Hizo mali si zitawasaidia?
 
Hii obsession na watu wenye kufanana na Watusi,haki ya nani!itawatoa roho.
Siku ukifika Kondoa,ukawaona warangi,utasema sio RAIA.
Nenda mafinga,ukaone wachina walivyojichimbia msituni,wana kiwanda cha ambao,wanavuna tu,harafu angalia ndugu zako wabongo wanavyotumikishwa.
Au nenda hapo urafiki,ubungo,ukaone hari za maisha ya wabongo.hata wakati wa kula wanatengwa,wawekezaji wanakula nje ya kiwanda,mbongo analazimishwa alie ndani ya bwaro chafu kama zizi
La nguruwe.
Unafikiri mwekezaji pale urafiki ni mnyarwanda?la hasha,yupo China man! Pale.
Mwenyeji wa Tunduma unafikiri atakuwa anafanana na RAIA wa nchi gani?lazima itakuwa anafanana,na anautamaduni kama watu wa Zambia.pale Tunduma,wenyeji wanasomesha watoto wao upande wa Zambia,hata lugha ya kiwemba,inazungumzwa sana.
Twende kigoma,unataka waha wafanane na nani?wafanane na wewe mzaramo,msukuma,au msandawe?wakati wapo karibu na jamii za Kirundi na kitusi!acha ufala,kwa taarifa yako tu,lugha ya waha,inafanana kabisa na kinyarwanda,ni kama kisukuma na kinyamwezi.
Sasa MTU anaasili ya Kigoma,Kagera,biharsmulo,ngara,unataka awe mfupi na pua bapa,kama wazaramo na Wakwere wa bagamoyo?
Wamasai wapo Kenya na TZ,tumeishawahi kuwa na waziri mkuu mmasai,mbona wao hamuwasemi,hatujawai kuwa na kiongozi mnyarwanda.Ass hole
Usipoteze muda mkuu. Hajielewi huyo.
 
Umewasilisha kila nilichotaka kuandika. Nakazia tu.
 
Mwili wa bilionea ambaye alikuwa anaendeshwa na dereva kwenye gari la V8, nyumbani hadi ofisini ni full ac. Ulinzi wa kutosha ili asiguswe hovyo hovyo...mmhhh lakini leo hata hao wanaoulilia hawezi kukaa naye zaidi ya masaa 36 tu,
Leo kaburi lake linachibwa na nzengo tena kuna,hiyo inaonesha koleo lililomchimbia masikini wa mwisho leo linamchibia bilionea..hapo ndio Mungu katupa usawa wa kila binadamu na ni fumbo kubwa.
Leo anashushwa kwenye saduku lilifugwa kila sehem na hakuna hata hewa ya kupita..yuko peke yake...
Aliondoka kapanda first class,lakini leo amebebanishwa na mizigo kama...
Kweli kifo kipo na kina mambo yake
Lakini pamoja na yote hayo bado katika uhai wake alikuwa anakula na wasikini,walemavu wa akili, vilema, na aliwafanya watu wanyonge kuwa wenye furaha... Ameacha kitu moyoni mwa watu..
R.i.p Mengi
Biblia katika Zaburi inasema; "...kifo huwakutanisha tajiri na masikini..."
 
Mm anauliza tu, mzee
Mimi anauliza tu Mzee mengi kafa kwa sababu ipi? Kama alikuwa mgonjwa si watuambie tu, hata kama ni mengine tutajilazimisha kukubali, coz sijaskia popote kuwa alikuwa mgonjwa, wapo kimya,

Wengine wanasema alienda likizo kwa niaba ya watoto, then what???

Mbona ruge tuliambiwa kafa kwa figo na tunaamini koz alikuwa hospital sote tunajua, hata kama ni mengine lakini tunajua ni figo.

Je Mzee Kafa kwa ugonjwa upi?
 
Mm anauliza tu, mzee
Mimi anauliza tu Mzee mengi kauwawa na nini? Kama alikuwa mgonjwa si watuambie tu, hata kama ni mengine tutajilazimisha kukubali, coz sijaskia popote kuwa alikuwa mgonjwa, wapi kimya,

Wengine wanasema alienda rikizo kwa niaba ya watoto, then what???

Mbona ruge tuliambiwa kafa kwa figo na tunaamini koz alikuwa hospital sote tunajua, hata kama ni mengine lakini tunajua ni figo.

Je Mzee Kafa kwa ugonjwa upi?
Tutayasikia tu,hakuna siri chini ya jua.
 
Mm anauliza tu, mzee
Mimi anauliza tu Mzee mengi kafa kwa sababu ipi? Kama alikuwa mgonjwa si watuambie tu, hata kama ni mengine tutajilazimisha kukubali, coz sijaskia popote kuwa alikuwa mgonjwa, wapo kimya,

Wengine wanasema alienda likizo kwa niaba ya watoto, then what???

Mbona ruge tuliambiwa kafa kwa figo na tunaamini koz alikuwa hospital sote tunajua, hata kama ni mengine lakini tunajua ni figo.

Je Mzee Kafa kwa ugonjwa upi?
Huo wa Ruge waliutaja alipozikwa..Mengi akizikwa watautaja ugonjwa wake
 
Mwili wa bilionea ambaye alikuwa anaendeshwa na dereva kwenye gari la V8, nyumbani hadi ofisini ni full ac. Ulinzi wa kutosha ili asiguswe hovyo hovyo...mmhhh lakini leo hata hao wanaoulilia hawezi kukaa naye zaidi ya masaa 36 tu,
Leo kaburi lake linachibwa na nzengo tena kuna,hiyo inaonesha koleo lililomchimbia masikini wa mwisho leo linamchibia bilionea..hapo ndio Mungu katupa usawa wa kila binadamu na ni fumbo kubwa.
Leo anashushwa kwenye saduku lilifugwa kila sehem na hakuna hata hewa ya kupita..yuko peke yake...
Aliondoka kapanda first class,lakini leo amebebanishwa na mizigo kama...
Kweli kifo kipo na kina mambo yake
Lakini pamoja na yote hayo bado katika uhai wake alikuwa anakula na wasikini,walemavu wa akili, vilema, na aliwafanya watu wanyonge kuwa wenye furaha... Ameacha kitu moyoni mwa watu..
R.i.p Mengi
Tafuta hela acha kuitesa familia yako kwa mawazo yako ya Kimasikini masikini
 
Haijalishi alipojichagulia,
Kikubwa kafa kishujaa.

Kachanga karata zake vizuri hapa duniani pamoja na kuzaliwa maskini lakini kafa akiwa tajiri...huyu ni wa kupongezwa coz ni mpambanaji.

Wanasema kuzaliwa masikini si tatizo, tatizo ni kufa maskini.

Mungu amlaze mahali pema peponi shujaa.

Reginald Mengi.
Mfu hana anachomiliki, mfu ni maskini tu
 
ukiiangalia sana hii picha ya cargo air port huyu mke wa mengi amezungukwa na wanyarwanda kila aliyekuwa karibu nae kuna mdada mkaka na wengine sijui walinzi wote pua ndefu
Duh kazi ipo, wewe kabila gani?
 
Mfu hana anachomiliki, mfu ni maskini tu
Hapana ruge bado akiwa south tuliambiwa ana tatizo la figo. Uzi uko huku jf, unakumbuka walivyosema watanzania wamchangie ruge? Walisema ana tatizo la figo.

Basi na Mzee waseme, tunasubiri leo watasemaje.
 
Back
Top Bottom