Msiba wa mzee Mengi

Tafuta hela acha kuitesa familia yako kwa mawazo yako ya Kimasikini masikini
Watu wenye mawazo ya kijinga kama haya ndio wanaofanya Afrika inakua masikini karne hadi karne.
Ukifa unaacha mali zako zote, ika si unawaachia ndugu zako na watoto ambao watafaidisha hadi wajukuu na vitukuu? Au hata Watanzania wengine..
 
Mm anauliza tu, mzee
Mimi anauliza tu Mzee mengi kafa kwa sababu ipi? Kama alikuwa mgonjwa si watuambie tu, hata kama ni mengine tutajilazimisha kukubali, coz sijaskia popote kuwa alikuwa mgonjwa, wapo kimya,

Wengine wanasema alienda likizo kwa niaba ya watoto, then what???

Mbona ruge tuliambiwa kafa kwa figo na tunaamini koz alikuwa hospital sote tunajua, hata kama ni mengine lakini tunajua ni figo.

Je Mzee Kafa kwa ugonjwa upi?
Mkubwa akiumwa ni kama kujamba. Huwezi kusema fulani kajamba.
Ulishawahi kusikia rais anaumwa?
 
COCROACHES WANA UBINAFSI NA ROHO MBAYA NDIYO MAANA WATU WENGI KTK EAST AFRICA HII HAWAPENDWI INGAWA WAO WANAJIONA. DAWA YAO ILIKUWA KIKWETE HAWANA TOFAUTI NA WASOMALI WALIOKO PALE NYUMA YA UWANJA WA SABASABA.
 
Swala la Mengi mwili wake kubebwa kama parcel sio issue wala taabu. the best thing where he could be right now. kuwa mzigo is nothing. Mungu ampumzishe kwa amani
 
Sasa hapo utajiri umemsaidiaje against kifo?
Haujamsaidia kweli na istoshe kifo ni lazima kwa kila mtu...miaka 77 ni baraka kubwa.

Ila ukweli ni kwamba kapambana angalau kwa sababu ametokea kwenye umaskini enzi za uhai wake na kapigana na kuupata utajiri ambao wengi wamenufaika moja kwa moja wengine ajira n.k
 
Hivi nguvu za kuinua tecno zanu nakuanza kupiga selfie msibani mnazitoaga wapi?
 
Haujamsaidia kweli na istoshe kifo ni lazima kwa kila mtu...miaka 77 ni baraka kubwa.

Ila ukweli ni kwamba kapambana angalau kwa sababu ametokea kwenye umaskini enzi za uhai wake na kapigana na kuupata utajiri ambao wengi wamenufaika moja kwa moja wengine ajira n.k
Kasome kitabu cha "muhubiri" utajua kuwa kujilimbikizia ukwasi nao ni ubatili.
Otherwise utakuwa umesomea ubishi.
 
Hapana ruge bado akiwa south tuliambiwa ana tatizo la figo. Uzi uko huku jf, unakumbuka walivyosema watanzania wamchangie ruge? Walisema ana tatizo la figo.

Basi na Mzee waseme, tunasubiri leo watasemaje.
Namaanisha pamoja na kuwa tajiri duniani lakini bado tunaondoka na kuviacha hapahapa
 
Umeelewa swali au umedandia tu chalii yangu ?
Kuhusu kuridhi mke hakuna uchagani.ila atateuliwa kaka au mdogo wa kiume wa marehemu kusimamia nyumba ya marehemu akiwepo mke na watoto Katika kuiongoza . Kama mke atataka kuolewa na mtu mungine itabidi aache mali na watoto kwenye Ukoo aende kwa aliyemuoa.
 
ukiiangalia sana hii picha ya cargo air port huyu mke wa mengi amezungukwa na wanyarwanda kila aliyekuwa karibu nae kuna mdada mkaka na wengine sijui walinzi wote pua ndefu
Wanyarwanda wamemaliza kazi.Nyie muwe na Kiwandani Cha kuunganisha Magari,simu shenzy kabisa Ushauri unaotolewa Kigari ni kuvuruga uchumi wetu mwisho liwe anguko kuu.Wakati tunamlaumu JPM mambo magumu wao wanajihimalisha 2025 anaweza simama mnyarwandwa kuwa mgombea na akachukua nchi kazi itakuwa imeisha ya Congo yatakuwa Bongoland.
 
Back
Top Bottom