mc bonm
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 243
- 245
Utamaduni huo umeuazisha wewe?Mke anaridhi ni utamaduni wa mchaga bila ubishi Mali yote aliyopatikana akiwepo kwenye ndoa
Utamaduni huo umeuazisha wewe?Mke anaridhi ni utamaduni wa mchaga bila ubishi Mali yote aliyopatikana akiwepo kwenye ndoa
atateuliwa kaka au mdogo wa kiume wa marehemu kusimamia nyumba ya marehemu akiwepo mke na watoto Katika kuiongoza . Kama mke atataka kuolewa na mtu mungine itabidi aache mali na watoto kwenye Ukoo aende kwa aliyemuoa.lakini kama mke hataolewa itabidi akae chini ya usimamizi wa ukoo akiwa na watoto wa marehemu .sheria ya kichaga imejikita kwenye kuridhishana sasa huyo mke haruhusiwi kuuza hata Ndururu anatakiwa awaridhishe watoto wa marehemu.Utamaduni huo umeuazisha wewe?
Wachaga wanarithi mke wa marehemu?atateuliwa kaka au mdogo wa kiume wa marehemu kusimamia nyumba ya marehemu akiwepo mke na watoto Katika kuiongoza . Kama mke atataka kuolewa na mtu mungine itabidi aache mali na watoto kwenye Ukoo aende kwa aliyemuoa.lakini kama mke hataolewa itabidi akae chini ya usimamizi wa ukoo akiwa na watoto wa marehemu .sheria ya kichaga imejikita kwenye kuridhishana sasa huyo mke haruhusiwi kuuza hata Ndururu anatakiwa awaridhishe watoto wa marehemu.
Hawaridhi mke labda apende mwenyewe kwa ridhaa yakeWachaga wanarithi mke wa marehemu?
Hizo sheria zimekaa kikatili halafu tunalalamika namba moja wetu ni dikteta wakati kwenye jamii zetu bado tunatumia sheria za kidikteta.Kuhusu kuridhi mke hakuna uchagani.ila atateuliwa kaka au mdogo wa kiume wa marehemu kusimamia nyumba ya marehemu akiwepo mke na watoto Katika kuiongoza . Kama mke atataka kuolewa na mtu mungine itabidi aache mali na watoto kwenye Ukoo aende kwa aliyemuoa.
Ni kurithi sio kuridhiHawaridhi mke labda apende mwenyewe kwa ridhaa yake
Jicho la Mama yetu kwa mfiwa limenikosha
Yaani hapo moyo wake umejaa mambo chungu nzima... anamuonea huruma mtoto wakeNingependa sana kujua anayofikiri Ma Salma....hayo macho...
Kwa maswali yako ulikuwa unanijaribu au ulitaka kujifunza?Ni kurithi sio kuridhi
Viwanda vitaanza. Saini zilipigwa tayari. Leo ulimuona waziri mkuu na timu yake pale moshi kanisani Akitoa ujumbe mzito wa serikaliWanyarwanda wamemaliza kazi.Nyie muwe na Kiwandani Cha kuunganisha Magari,simu shenzy kabisa Ushauri unaotolewa Kigari ni kuvuruga uchumi wetu mwisho liwe anguko kuu.Wakati tunamlaumu JPM mambo magumu wao wanajihimalisha 2025 anaweza simama mnyarwandwa kuwa mgombea na akachukua nchi kazi itakuwa imeisha ya Congo yatakuwa Bongoland.
Ntuyabarirwe lenyewe Jina originally kutoka huko japo anajulikana km Mnyambo au aidha Mhangazaukiiangalia sana hii picha ya cargo air port huyu mke wa mengi amezungukwa na wanyarwanda kila aliyekuwa karibu nae kuna mdada mkaka na wengine sijui walinzi wote pua ndefu
Mkuu nimeshinda Hospital kasemaje?Kwa kilio kile Cha Baba mwenye lazima mambo yaende na atakae kwamisha atamnyofoa.Naona kijana wa Mengi kapewa maelekezo niliiona sehemu anaongea kwa Tabasamu maana nyuma yake Kuna Tanzania Kama yote.Viwanda vitaanza. Saini zilipigwa tayari. Leo ulimuona waziri mkuu na timu yake pale moshi kanisani Akitoa ujumbe mzito wa serikali
waziri mkuu aliwaambia familia serikali ingependa waendeleze mipango yote aliyoiacha mzee na milango ipo wazi ofisini kwa waziri mkuu na mawaziri wahusika ambao aliambatana nao jana hata wakitaka kumuona raisi watapelekwaMkuu nimeshinda Hospital kasemaje?Kwa kilio kile Cha Baba mwenye lazima mambo yaende na atakae kwamisha atamnyofoa.Naona kijana wa Mengi kapewa maelekezo niliiona sehemu anaongea kwa Tabasamu maana nyuma yake Kuna Tanzania Kama yote.