Msiba wa mzee Mengi

Msiba wa mzee Mengi

1974hrs

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Posts
741
Reaction score
536
Apumzike kwa amani pale alipojichagulia wakati wa uhai wake
Screenshot_20190506-230409.jpeg
 
Libera me Domine, de morte aeterna. In die irae tremenda. Quando caeli, movendi sunt et terra.
..
..

Dominus dedit, Dominus abstulit. Ut glorificetur nomen eis.
Requiesce in pace legenda.
 
Mwili wa bilionea ambaye alikuwa anaendeshwa na dereva kwenye gari la V8, nyumbani hadi ofisini ni full ac. Ulinzi wa kutosha ili asiguswe hovyo hovyo...mmhhh lakini leo hata hao wanaoulilia hawezi kukaa naye zaidi ya masaa 36 tu,
Leo kaburi lake linachibwa na nzengo tena kuna,hiyo inaonesha koleo lililomchimbia masikini wa mwisho leo linamchibia bilionea..hapo ndio Mungu katupa usawa wa kila binadamu na ni fumbo kubwa.
Leo anashushwa kwenye saduku lilifugwa kila sehem na hakuna hata hewa ya kupita..yuko peke yake...
Aliondoka kapanda first class,lakini leo amebebanishwa na mizigo kama...
Kweli kifo kipo na kina mambo yake
Lakini pamoja na yote hayo bado katika uhai wake alikuwa anakula na wasikini,walemavu wa akili, vilema, na aliwafanya watu wanyonge kuwa wenye furaha... Ameacha kitu moyoni mwa watu..
R.i.p Mengi
 
Haijalishi alipojichagulia,
Kikubwa kafa kishujaa.

Kachanga karata zake vizuri hapa duniani pamoja na kuzaliwa maskini lakini kafa akiwa tajiri...huyu ni wa kupongezwa coz ni mpambanaji.

Wanasema kuzaliwa masikini si tatizo, tatizo ni kufa maskini.


Mungu amlaze mahali pema peponi shujaa.

Reginald Mengi.
 
ukiiangalia sana hii picha ya cargo air port huyu mke wa mengi amezungukwa na wanyarwanda kila aliyekuwa karibu nae kuna mdada mkaka na wengine sijui walinzi wote pua ndefu
Hizi fikra mbovu sana hivi hao wanyarwanda wa nini? Kikubw nimeishi kigali 5yrs na nusu kitu wanaji'proud nikwamba watz tunawahofia... And on my side i know them they are too weak
 
Anduka basi jina. Mengi bado wapo. Unaposema msiba wa mengi inakuwa kama mengi wooote wamekufa. Andika jina kamili.
 
Apumzike kwa amani pale alipojichagulia wakati wa uhai wakeView attachment 1089968
Tulia mkuu, huo ndio ubinadamu, kuzaliwa, kuoa/kuolewa na kufa. Tupo kwenye mstari wa kufuata kifo na tambua ukifa basi huna mamlaka juu ya mwili wako.

Ila uspanic, hakuna anayeweza kukuletea shida isipokuwa wewe mhusika. Ukiona anakuletea shida mwepuke.
 
Back
Top Bottom