Msiba wa Musiba: When you become public enermy

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,845
Unapogeuka kuwa adui wa hadhira ni kheri ufe kuliko kuendelea kuwa hai...hakuna gundu baya kama kuchukiwa na hadhira.. Fikiria kila roho ikupe laana yake.. Huo ni msiba mara saba kama roho tisa za paka

Unajua tuna watu wengi sana wamesoma lakini hawajaelimika
Haijalishi umesoma mabuku mangapi
Haijalishi umemaliza vyuo vingapi
Haijalishi umefaulu mitihani mingapi
Haijalishi umetunukiwa shahada ngapi
Swali muhimu... Je umeelimika?

Tuna watu wengi tu wenye uelewa kimo cha mbilikimo pamoja na kutumikia muda mwingi kwenye elimu, wamefaulu darasani wamefeli mitaani...
Chuo halisi cha kufaulu ni chuo cha maisha halisi
Musiba ana misiba mingi sijui ataanza na upi na kumaliza na upi
Ana msiba wa maadui aliojitengenezea
Ana msiba wa wale wote aliowatukana na kuwakejeli
Ana msiba wa wale wote aliowazushia tuhuma mbalimbali
Ana msiba wa kesi zilizoko mahakamani
Ana msiba wa wale wote ambao kupitia matamshi na matendo yake waliumia na kuumizwa kwa namna moja ama nyingine
Ana msiba wa hatima yake
Juu ya yote ana msiba wa mbeleko, mfadhili na mlinzi wake...!!!

Madhila yake yatakuwa ni bandika bandua..
Kila jambo lina nyakati zake
Kuna wakati wa kulia na kuna wakati wa kucheka
Ukilia leo kesho utacheka na kinyume chake!!!
IMG-20210407-WA0034.jpg
 
Ali
Kwa hiyo ukimchukia wewe inamaanisha watanzania wote wamemchukia
Alitisha watu Sana huyu Musiba,niliona clip aliitamka kwa kujiamini kabisa kuwa mtu Fulani anastahili kufungwa Jiwe zito na kutoswa baharini.
Niliogopa Sana maana pia Kuna miili iliwahi kuokotwa baharini ikiwa imetoswa kwa mtindo huo.
Hiyo hukumu ya kutosa watu baharini haitumiki Tena karne hii,sijui yeye ujasiri huo aliutoa wapi.
Ukweli alizingua.
 
The
Musiba ni mgonjwa Tu WA akili..
Watu wenye akili hawatakuwa na time nae
Hata kama aliwatukana...

Atarudi kuwa irrelevant Tu kama zamani..

Na hata hizo kesi wengine watazifuta
The Boss umeongea kirahisi Sana Musiba ni mtu mwenye akili timamu kabisa na Ana akili sana.
kila alichofanya alifanya kwa uhakika kabisaka,akijipanga kufanya aliangalia faida na hasara ya kufanya Yale.ila hakuona mbele.

Kila alichofanya kilikua kipo kwenye mpango mahususi na madhubuti,
alipata washauri na wafadhili wa uhakika na professional ,
na alikua Ni sawa na taasisi ya Kigogo 2014 ila sema yeye alijiweka wazi na Hilo ndio kosa lake kubwa, na taasisi yake haikua smart hapa,
Taasisi ya Kigogo2014 imemzidi Musiba na taasisi yeke kwa mbali na,nadhani suala la ushamba linahusika hapa,na kudhani kwamba kesho itakua Kama leo,
Taasisi ya Kigogo imemzodi Musiba kwa mbali kwa usmart wa kutokujiweka wazi.
Na hili ndio kosa litamghalimu Huyu Musiba.
Kila alichofanya hakufanya kwa bahati mbaya au upungufu wa akili,Bali kujiamini,dharau na kuhakikishiwa Kinga.
Lakini masikini hakujua kuwa,
"Mungu ni Fundi."
 
Unayajua vizuri Magonjwa ya akili?
Bipolar unaijua?
Autism?

Mtu anaweza kuwa mgonjwa na still ukamuona ana akili...
Hata marehem Boss wake unafikiri alikuwa mzima?Kuamini Corona itakuogopa mfano?
 
The
The Boss umeongea kirahisi Sana Musiba ni mtu mwenye akili timamu kabisa na Ana akili sana.
kila alichofanya alifanya kwa uhakika kabisaka,akijipanga kufanya aliangalia faida na hasara ya kufanya Yale.ila hakuona mbele.

Kila alichofanya kilikua kipo kwenye mpango mahususi na madhubuti,
alipata washauri na wafadhili wa uhakika na professional ,
na alikua Ni sawa na taasisi ya Kigogo 2014 ila sema yeye alijiweka wazi na Hilo ndio kosa lake kubwa, na taasisi yake haikua smart hapa,
Taasisi ya Kigogo2014 imemzidi Musiba na taasisi yeke kwa mbali na,nadhani suala la ushamba linahusika hapa,na kudhani kwamba kesho itakua Kama leo,
Taasisi ya Kigogo imemzodi Musiba kwa mbali kwa usmart wa kutokujiweka wazi.
Na hili ndio kosa litamghalimu Huyu Musiba.
Kila alichofanya hakufanya kwa bahati mbaya au upungufu wa akili,Bali kujiamini,dharau na kuhakikishiwa Kinga.
Lakini masikini hakujua kuwa,
"Mungu ni Fundi."
Used, neglected then dumped for good
 
Back
Top Bottom