Msiba wa kusikitisha!!!!!!!

.Wanakaa karibu na makaburi ya Kola na ukienda panda gari za Kilakala shuka kituo cha makaburi ya Kola kulia utaona watu wengi tu kwenye msiba.
pole sana, nmepita jana usiku na kuona huo msiba, kituo halisi ni mwanzo wa makaburi/lyasembe. na pia gari za kupanda ni za bigwa na sio kilakala.
 
Poleni sana wafiwa na Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu.
Tuwaombee pia marehemu hao wapumzike kwa amani
 
Pole kwa wafiwa,
Ni kipindi kigumu kweli;ila katika yeye atutiae nguvu tunaweza kuyashinda yote..Tuamini katika Mungu na yote tumwachie yeye.
Bwana alitoa,na bwana ametwaa,jina la Mungu lihimidiwe,amina.
 
Hii taarifa inasikitisha sana. Poleni sana wafiwa. Aine tuwakilishe Wana JF kwa mfiwa.
 
Poleni wafiwa kwa msiba mzito uliowakumba. Mungu awaongoze katka kipindi hiki kigumu mlichonacho kwa kuondokewa na wapendwa wenu.
 
Pole sana kwa msiba. Mipango ya mungu haipingwi, nikushukuru kwa kila jambo.
 
Pole wafiwa Mungu awape ujasiri! Pole pia mtoa habari. Kama nikipata nafasi Mwezi ujao wa June nitaenda kumpa pole. Kwa maelezo ya mleta habari nikishuka kituo cha Makaburini Bado nitaona watu wengi mwezi Juni? Pole tena kwenu wote.
 
Mungu awape nguvu na courage wafiwa wote ktk kipindi hiki kigumu ama kwa hakika ni pigo kubwa! ahhh!!
 
Pole wafiwa Mungu awape ujasiri! Pole pia mtoa habari. Kama nikipata nafasi Mwezi ujao wa June nitaenda kumpa pole. Kwa maelezo ya mleta habari nikishuka kituo cha Makaburini Bado nitaona watu wengi mwezi Juni? Pole tena kwenu wote.
Nilimaanisha kama utaenda katika siku hizi za msiba hutapotea coz utaona watu wengi tu kwenye msiba hapapotezi, nakushukuru
 
Shukrani.
Nawashukuru kwa moyo wa dhati wana JF wote kwa pole zenu mlizozitoa, na wale waliofika nawashukuru sana, kweli ni ngumu kupokea ila hamna jinsi maana haizuiliki!Biblia inasema shukuruni kwa kila jambo, likikufika ni ngumu sana kutamka "nakushukuru Mungu kwa hili" ila hakuna jinsi, tufarijiane kwa hilo! Nawashuku sana Mbarikiwe wote mliofika, na hata kwa maombi yenu
 
Back
Top Bottom