Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,431
WanaJF habari za asubuhi
napenda kutoa taarifa ya msiba wa kijana wetu Abasi.
Kama mtakumbuka kulikuwa na thread iliyorushwa na Afrodenzi kuhusu
kijana huyo, alikuwa amelazwa hospitali ya KCMC kwa ugonjwa wa mguu kuvimba
alihitaji msaada wa matibabu na chakula. JF members walijitolea michango ya pesa
kumsaidia mahitaji ya chakula na mengineyo.
alifanyiwa upasuaji wa mguu jana jumatano asubuhi hadi saa 12 jioni bado alikuwa kwenye
chumba cha upasuaji ilipofika saa 2 usiku kijana Abasi alifariki dunia.
kifo ni njia ya wote Abasi ametangulia
Mungu ailaze roho ya marehemu Abasi mahali pema... Amina
Preta unanikumbusha machungu.....nimeongea naye jumanne
usiku akijianda kwa operation jumatano......alikuwa anasisitiza kumwombea
daaaah inauma sana hapa nilipo hata kazi imenishinda
Pole sana rafiki..... tots kadhaa za red label zaweza kukusaidia.........Inauma sana lakini hatuna jinsi.Preta unanikumbusha machungu.....nimeongea naye jumanne
usiku akijianda kwa operation jumatano......alikuwa anasisitiza kumwombea
daaaah inauma sana hapa nilipo hata kazi imenishinda
pole sana.....hiyo ndio hali ya dunia.....machungu hutokea.....yakubali na maisha yaendelee.....
Pole sana rafiki..... tots kadhaa za red label zaweza kukusaidia.........Inauma sana lakini hatuna jinsi.
RIP Abas!