Msiba wa Kijana Abas

Abbas, umetangulia tu sote njia yetu ni hiyo, Mungu awape moyo wa subira wote walioguswa na msiba wa huyu mdogo wetu.

R.I.P Abbas
 
Ooooh, no!
Basi, Kazi ya Mungu haina makosa. I hope he has in heaven the peace and health he could not have in this world. Kwa wote walio mchangia, na Afrodenzi who put her effort kumsaidia na upasuwaji, congratulations for the efforts. Walifanya wanacho weza, ila Mungu alikua na mipango mengina ya namna atamsaidia huyo kijana kupona tabu yake. May he rest in peace.
Ameen
 
Indeed, ni taarifa ya Huzuni sana...Mara nyingi taarifa hizi zinatukumbusha mambo mengi ya huzuni yaliyopita.. RIP Abas..
Kwa upande wa pili nimefarijika sana kwa Moyo wa Upendo mlionyesha JF members.. AfroDenzi, Blacki Woman etc..Hakika Mungu yupo pamoja nanyi na amesikia Uchungu na kilio cha Mioyo yenu..
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom