Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
- Thread starter
- #21
View attachment 39059 R.I.P Abbasi
Dearest hujambo............pole mwaya.......ni mipango ya Mungu......mipango ya mwanadamu ni tofauti na mipango ya Mungu
View attachment 39059 R.I.P Abbasi
Dearest hujambo............pole mwaya.......ni mipango ya Mungu......mipango ya mwanadamu ni tofauti na mipango ya Mungu
R.I.P Abas!
Kweli nimeshikwa na uchungu ...
Kijana Abbasi sonto kaa nimsahau
maisha yangu yote..
Ohooo poleni saana wahusika na msiba huu mzito, Bwn MUNGU awape moyo wa uvumilivu kukabili haya majukumu yambatanayo na kufiwa, poleni sana!!!!!!!!!!!!!!WanaJF habari za asubuhi
napenda kutoa taarifa ya msiba wa kijana wetu Abasi.
Kama mtakumbuka kulikuwa na thread iliyorushwa na Afrodenzi kuhusu
kijana huyo, alikuwa amelazwa hospitali ya KCMC kwa ugonjwa wa mguu kuvimba
alihitaji msaada wa matibabu na chakula. JF members walijitolea michango ya pesa
kumsaidia mahitaji ya chakula na mengineyo.
alifanyiwa upasuaji wa mguu jana jumatano asubuhi hadi saa 12 jioni bado alikuwa kwenye
chumba cha upasuaji ilipofika saa 2 usiku kijana Abasi alifariki dunia.
kifo ni njia ya wote Abasi ametangulia
Mungu ailaze roho ya marehemu Abasi mahali pema... Amina
Dah!yaani we acha naangalia picha zake alipokuwa KCMC mmmmhhh nashindwa kuamini
roho imeniuma sana
uwezi amini jana nilikuwa namtafuta kwenye simu mpaka saa 3 bila mafanikio
leo nimeamka namtafuta simpati nikapiga simu kwa nurse mmoja naye alikuwa hapatikani nikampigia rafiki yangu yupo moshi
akanipa simu ya nurse mwingine ndio akanipa taarifa hiyo
nilikuwa nimemwahidi ningekwenda ijumaa maana p holiday na angekuwa ameshafanyiwa upasuaji
tunamshukuru Mungu kwa kila jambo
yaani we acha naangalia picha zake alipokuwa KCMC mmmmhhh nashindwa kuamini
roho imeniuma sana
uwezi amini jana nilikuwa namtafuta kwenye simu mpaka saa 3 bila mafanikio
leo nimeamka namtafuta simpati nikapiga simu kwa nurse mmoja naye alikuwa hapatikani nikampigia rafiki yangu yupo moshi
akanipa simu ya nurse mwingine ndio akanipa taarifa hiyo
nilikuwa nimemwahidi ningekwenda ijumaa maana p holiday na angekuwa ameshafanyiwa upasuaji
tunamshukuru Mungu kwa kila jambo
Dah!
Nimejikuta nimemkumbuka Chetuntu bila kutegemea!