Msiba wa Kijana Abas

Blaki Womani

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
11,237
13,376
WanaJF habari za asubuhi
napenda kutoa taarifa ya msiba wa kijana wetu Abasi.
Kama mtakumbuka kulikuwa na thread iliyorushwa na Afrodenzi kuhusu
kijana huyo, alikuwa amelazwa hospitali ya KCMC kwa ugonjwa wa mguu kuvimba
alihitaji msaada wa matibabu na chakula. JF members walijitolea michango ya pesa
kumsaidia mahitaji ya chakula na mengineyo.
alifanyiwa upasuaji wa mguu jana jumatano asubuhi hadi saa 12 jioni bado alikuwa kwenye
chumba cha upasuaji ilipofika saa 2 usiku kijana Abasi alifariki dunia.
kifo ni njia ya wote Abasi ametangulia
Mungu ailaze roho ya marehemu Abasi mahali pema... Amina

Apta Kayla

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
325
67

Innalilah wa Innaillah Rajiun!
R.I.P Abasi.
 
Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,325
18,665
aaaahh.....alale mahali pema peponi....

abas uvimbe.jpg
abasi 2.jpg

Likwanda

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
3,914
1,115
Mungu ampatie pumziko la milele kijana wetu na awajaze moyo wa subira wafiwa wote, Inailahi Wa Inailah Rajiun.
 
KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
271
Kama ulivyo nami nilikuwa!!!!!!!!!
Kama nilivyo nawe utakuwa!!!!!!!
Pumzika kwa amani nasi tuko nyuma yako kwani lango ni moja tuu
 
Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,325
18,665
Preta unanikumbusha machungu.....nimeongea naye jumanne
usiku akijianda kwa operation jumatano......alikuwa anasisitiza kumwombea
daaaah inauma sana hapa nilipo hata kazi imenishinda

pole sana.....hiyo ndio hali ya dunia.....machungu hutokea.....yakubali na maisha yaendelee.....
 
Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
65,930
89,014
Preta unanikumbusha machungu.....nimeongea naye jumanne
usiku akijianda kwa operation jumatano......alikuwa anasisitiza kumwombea
daaaah inauma sana hapa nilipo hata kazi imenishinda
Pole sana rafiki..... tots kadhaa za red label zaweza kukusaidia.........Inauma sana lakini hatuna jinsi.

RIP Abas!
 
Blaki Womani

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
11,237
13,376
Pole sana rafiki..... tots kadhaa za red label zaweza kukusaidia.........Inauma sana lakini hatuna jinsi.

RIP Abas!

asante babu...........yes babu inauma kweli pale unapoondokewa na rafiki mpendwa...........ndio njia ya wote...........tumshukuru Mungu kwa kila jambo...........bora kuangalia computer mkoloni asijenibadilikia nikipata hiyo kwenye blue
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

15 Reactions
Reply
Top Bottom