Kaitaba
JF-Expert Member
- Jun 30, 2009
- 915
- 54
Nasikitika kuwatangazia kuwa meneja wa uwanja wa taifa amefariki,
Meneja huyo ni ndugu Masanja, amefariki leo kwa ajari baada ya kuangukiwa na ukuta wa nyumba,
Marehemu Massanja jana alikuwa uwanjani wakati wa mechi kati ya simba na maafande akiwa na afya njema.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, Ameni.