miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
mrudie muanze moja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa atanyooka na nini wakati mtu anataka ushauri???Utanyooka tu!..hapa kazi tu!..
Naamini na yeye alikushangaa hivyo hivyo!Wakuu leo majira ya saa tano Asubuhi nilienda hospitali ya Mnazi Mmoja kwa kumuona Doctor.
Ile natoka nikamuona yule mdada ambaye nilikua naye anatoka Kwenye Mlango wa Ushauri nasaha na Kupima Virusi vya UKIMWI nimeshtushwa sana kwani wote waliokua pale walikua wana afya zilizodhoofu ila yeye mwili wake upo kawaida.
Sikuweza hata kuongea naye style ninayotumiaga tukiachana na Mwanamke huwa ni Ngumu kuongea au Kusalimiana naye tena.
Wakuu yule Dada si Daktari, Nesi, Mshauri wa mambo ya UKIMWI lakini nimemkuta katika mazingira ya Kutatanisha. Je Anatumia dose? Nikapime? au nitulie hadi nitakapoona Dalili.
Msaada.
Lakini katika hali ya kawaida si jambo jepesi hilo...!!!Teh pole sana unamawazo habaa kwahiyo mtu kutoka mle ndani nae kaathirika
pole sana mkuu, usikurupuke..Tulia kwanza
Maleria inauwa zaidi ya ukimwi......Wakuu leo majira ya saa tano Asubuhi nilienda hospitali ya Mnazi Mmoja kwa kumuona Doctor.
Ile natoka nikamuona yule mdada ambaye nilikua naye anatoka Kwenye Mlango wa Ushauri nasaha na Kupima Virusi vya UKIMWI nimeshtushwa sana kwani wote waliokua pale walikua wana afya zilizodhoofu ila yeye mwili wake upo kawaida.
Sikuweza hata kuongea naye style ninayotumiaga tukiachana na Mwanamke huwa ni Ngumu kuongea au Kusalimiana naye tena.
Wakuu yule Dada si Daktari, Nesi, Mshauri wa mambo ya UKIMWI lakini nimemkuta katika mazingira ya Kutatanisha. Je Anatumia dose? Nikapime? au nitulie hadi nitakapoona Dalili.
Msaada.
Wasi wasi wake kwani wakati mko kwenye mahusiano mlikuwa hampimi???Lakini katika hali ya kawaida si jambo jepesi hilo...!!!
Pole Mara 2 ,ya kwnza unaomba ushauri wakuongezea zigo la mawazo jamani tusiwe hivyo.ya pili yaliyo kusibu kaka usiofu pengine baada ya kuachana Maya amepata mchumba akawa ameambiwa suala la kupima akaamua kuwahi ili Iwe siri yake kama akikuta+,au kuna kitu alisikia hata kama ni uongo akaamua kwenda kuhakiki,pia we hujui baada yako ni nani aliyekuwa naye au aliye naye akaamua kupima ili kuondoa wsws.na mwisho usifanye ngono ovyo KW kuhofia afya yako unaweza sasa ndio ukaupata kumbe hukua nao,tuliza akili ndio ukapime acha ngono Oa kuwa mwaminifu asanteWakuu leo majira ya saa tano Asubuhi nilienda hospitali ya Mnazi Mmoja kwa kumuona Doctor.
Ile natoka nikamuona yule mdada ambaye nilikua naye anatoka Kwenye Mlango wa Ushauri nasaha na Kupima Virusi vya UKIMWI nimeshtushwa sana kwani wote waliokua pale walikua wana afya zilizodhoofu ila yeye mwili wake upo kawaida.
Sikuweza hata kuongea naye style ninayotumiaga tukiachana na Mwanamke huwa ni Ngumu kuongea au Kusalimiana naye tena.
Wakuu yule Dada si Daktari, Nesi, Mshauri wa mambo ya UKIMWI lakini nimemkuta katika mazingira ya Kutatanisha. Je Anatumia dose? Nikapime? au nitulie hadi nitakapoona Dalili.
Msaada.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mrudie muanze moja