Mshtuko nimemuona Ex-Wangu anatoka Angaza

Ivi watu bado wanapima wenye UKIMWI kwa kuangalia tu! Huwezi jua alienda fanya nini, usije jipanikisha buree...

Pale hospitali ya temeke kutengo cha UKIMWI kuna daktari namtumiaga kwa mambo yangu ya kiafya ko namfuata ofisini kwake... Mda mwingine nakaa kwenye mabenchi na mtu anadhani na mie mwathirika... Sasa mpenzi ndo anione pale si atapaniki bure tuu!!!

Muulize tu mkuu
 
Nahivi mnavyopenda kavukavu kapime tu mapema...uanze dozi
 
Wakuu leo majira ya saa tano Asubuhi nilienda hospitali ya Mnazi Mmoja kwa kumuona Doctor.

Ile natoka nikamuona yule mdada ambaye nilikua naye anatoka Kwenye Mlango wa Ushauri nasaha na Kupima Virusi vya UKIMWI nimeshtushwa sana kwani wote waliokua pale walikua wana afya zilizodhoofu ila yeye mwili wake upo kawaida.

Sikuweza hata kuongea naye style ninayotumiaga tukiachana na Mwanamke huwa ni Ngumu kuongea au Kusalimiana naye tena.

Wakuu yule Dada si Daktari, Nesi, Mshauri wa mambo ya UKIMWI lakini nimemkuta katika mazingira ya Kutatanisha. Je Anatumia dose? Nikapime? au nitulie hadi nitakapoona Dalili.

Msaada.
Sikia we kijana. Kuchuna ngozi kavu haimaanishi kuwa lazima umeupata, maambukizi. Yaweza kuwa ndiyo ama siyo.
Kama afya yako inakusumbua tangu uachane nae, ninakushauri kapime.
Lakini kama hauna tatizo lolote,jipe matumaini kuwa huyo kicheche hajakuachia mkongo wa taifa.
 
Hupaswi kuwa na wasiwasi mkuu, yawezekana amepata mchumba wa kumuoa ndio maana kaenda kupima. Ushauri wangu ni kuwa, mpigie simu umuilize akupe majibu ya vipimo au nenda mwenyewe ukapime uondoe wasiwasi.
 
Wakuu leo majira ya saa tano Asubuhi nilienda hospitali ya Mnazi Mmoja kwa kumuona Doctor.

Ile natoka nikamuona yule mdada ambaye nilikua naye anatoka Kwenye Mlango wa Ushauri nasaha na Kupima Virusi vya UKIMWI nimeshtushwa sana kwani wote waliokua pale walikua wana afya zilizodhoofu ila yeye mwili wake upo kawaida.

Sikuweza hata kuongea naye style ninayotumiaga tukiachana na Mwanamke huwa ni Ngumu kuongea au Kusalimiana naye tena.

Wakuu yule Dada si Daktari, Nesi, Mshauri wa mambo ya UKIMWI lakini nimemkuta katika mazingira ya Kutatanisha. Je Anatumia dose? Nikapime? au nitulie hadi nitakapoona Dalili.

Msaada.
Njoo nione nitakupima mie na kuongea kwa kirefu kwanza kabla ya kupima unapochelewa ndio unajipa stress nyingi zisizo na msingi wowote
 
Wakuu leo majira ya saa tano Asubuhi nilienda hospitali ya Mnazi Mmoja kwa kumuona Doctor.

Ile natoka nikamuona yule mdada ambaye nilikua naye anatoka Kwenye Mlango wa Ushauri nasaha na Kupima Virusi vya UKIMWI nimeshtushwa sana kwani wote waliokua pale walikua wana afya zilizodhoofu ila yeye mwili wake upo kawaida.

Sikuweza hata kuongea naye style ninayotumiaga tukiachana na Mwanamke huwa ni Ngumu kuongea au Kusalimiana naye tena.

Wakuu yule Dada si Daktari, Nesi, Mshauri wa mambo ya UKIMWI lakini nimemkuta katika mazingira ya Kutatanisha. Je Anatumia dose? Nikapime? au nitulie hadi nitakapoona Dalili.

Msaada.
Mi naomba kujua hiyo style unayotumiaga kuwamwaga ambayo hata mkikutana kupeana salam inakuwa shida. Hii ni nzuri sana mambo ya kukumbushia yanakuwa hakuna hapo
 
Wakuu leo majira ya saa tano Asubuhi nilienda hospitali ya Mnazi Mmoja kwa kumuona Doctor.

Ile natoka nikamuona yule mdada ambaye nilikua naye anatoka Kwenye Mlango wa Ushauri nasaha na Kupima Virusi vya UKIMWI nimeshtushwa sana kwani wote waliokua pale walikua wana afya zilizodhoofu ila yeye mwili wake upo kawaida.

Sikuweza hata kuongea naye style ninayotumiaga tukiachana na Mwanamke huwa ni Ngumu kuongea au Kusalimiana naye tena.

Wakuu yule Dada si Daktari, Nesi, Mshauri wa mambo ya UKIMWI lakini nimemkuta katika mazingira ya Kutatanisha. Je Anatumia dose? Nikapime? au nitulie hadi nitakapoona Dalili.

Msaada.
nenda kapime ufe mapema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom