Mshtuko kwa wanawake huwa nawaonea imani mno

Yani fahega sikuwahi kufikiri kuwa hiki ni kitu kisichojulikana na wengi au pengine mimi ni mdukuzi sana...?
Lakini ni kitu ambacho huwatokea mno wanawake wanapopata habari zinazowahusu zenye kushtua sana

Kuna vitu vingine hutakaa uvielewe mpk uingie labour hata ni vigumu kuvielewa labda uwe mama mwenye watoto. Nilivyokuwa msichana nilikuwa nashangaa kama wewe unavyoshangaa tena wengine utaona wkt wa msiba au ajali au kaona maiti utaona anajishika tumbo au anafungwa kanga kiunoni kunakazwa ila nimekuwa mama naaelewa hw they feel. So kwa mwanaume utabaki unashangaa mpk siku unaingia kabirini hutaelewa ni kitu gani wanasikia labda mama yako akunong'oneze sikioni.
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa cku hizi we muache tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kuna vitu vingine hutakaa uvielewe mpk uingie labour hata ni vigumu kuvielewa labda uwe mama mwenye watoto. Nilivyokuwa msichana nilikuwa nashangaa kama wewe unavyoshangaa tena wengine utaona wkt wa msiba au ajali au kaona maiti utaona anajishika tumbo au anafungwa kanga kiunoni kunakazwa ila nimekuwa mama naaelewa hw they feel. So kwa mwanaume utabaki unashangaa mpk siku unaingia kabirini hutaelewa ni kitu gani wanasikia labda mama yako akunong'oneze sikioni.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji15]
 
Back
Top Bottom