ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,587
- 130,940
Ni watu ninaowaheshimu na kuwathamini mno lakini bahati mbaya wamepewa hili tatizo bila ya wao kutaka mshtuko.
Kiongozi, hapo sijaelewa!
Mshtuko gani huo unaouongelea?Kila mtu anashtuka lakini kwa wanawake ni tofauti kama sio haja ndogo kutoka basi itakuwa bleed au tumbo la kuhara.
mmmmmh!!Nimeshakutana na akina mama wengi wakiwa katika hali hiyo cha kusikitisha ni kwamba watu huwa wanawacheka na kuwabeza au kuwadhahaki lakini maskini wa Mola sio wao ni jambo la kiasili mno.