Mshituko: Ndege yetu Boeing 787-8 Dreamliner imegongwa, ipo matengenezo

Mshituko: Ndege yetu Boeing 787-8 Dreamliner imegongwa, ipo matengenezo

Status
Not open for further replies.
Nakajua imewaka moto niagize bia

Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo sijui tumelongwa na nan????[emoji37][emoji37][emoji17]yani tunapenda kuona mambo yetu yanafeli hapo ndo furaha inakuingia sasa cjui mtoa mada na huyu jamaaa [emoji115][emoji115][emoji115]watakuwa wanampango gan na nchi yetu!! it's shame kuona mtu anasema et angeagiza kama angesikia imewaka moto

Mbona dreamliner ya Kenya airways ipo pale JNIA na winchi zikibeba ingini lakn sijaona kama wakenya wakipondea matengenezo hayo???
tapatalk_1551028320578.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni ajali ya kawaida kwanini wafiche. Mbona ile iliyopotea njia ya kurukia na kisha kusukunwa na watu baada ya video yake kusambaa mitandaoni waliitolea taarifa maalumu?

Lakini kama ni bovu tu wanafanya marekebisho watoe taarifa hakuna la ajabu mbona hata binaadamu huugua na kutibiwa saa nyingine akapona na saa nyingine akafa. Kama litakuwa limeshindikana kwa maana limekufa kabisa hilo nalo sio ajabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari yako naona kama imekaa kishabiki zaidi kuliko uhalisia. Maana nimeona umemalizia kwa siasa wakati ajali na matengenezo sio siasa. Mimi binafsi sio muumini wa siasa na sishabikii siasa
 
Salaam wakuu,

Nasikitika kuwapa taarifa kwamba ndege yetu pendwa iliyopokelewa hivi karibuni, imegongwa.

Haiwezi kufanya kazi hadi matengenezo yafanyike.

Kwa ninavyojua, hii inaondoka na watu kuanzia juu, sababu imegongwa na ground handling company ambayo haijawa certified na IATA au ISO.

Ndege yetu tunahojivunia imegongwa na Kampuni ya NAS. Mbaya zaidi baada ya kogongwa imefichwa. Sio rahisi kuiona kwamba uipige picha, ila tumejitahidi kupata picha.

Inadaiwa kuwa NAS wamekubali kulipia gharama za matengenezo yake.

NAS ground handling company, Makao makuu yake yapo Mwanza ndo wakaletwa Dar. Kumbuka Swissport hairuhusiwi kuhandle Ndege za ATC.

View attachment 1031584
SERIKALI ya Tanzania ilipokea Boeing 787-8 Dreamliner hii siku Jumapili Julai 8 mwaka 2018 ambapo Viongozi wakuu wa serikali na Chama cha Mapinduzi (CCM) wakiongozwa Rais John Magufuli, walikuwepo kiwanjani wakati ndege hiyo yenye uwezo wa kuchukua abiria 262 ilipowasili.

Bei ya ndege hii inakadiriwa kuwa $224.6 milioni (Sh512 bilioni za Tanzania) kwa mujibu wa taarifa kwenye tovuti ya kampuni ya Boeing.

Ndege hii ilanza safari za nje kwa kubeba shehena ya nyama ya Mbuzi kutoka mwanza kuelekea Dubai.


Hivi karibuni SERIKALI ilisema ndege mbili aina ya Bombardier Dash Q400 zilizonunuliwa mwaka 2016, zitapelekwa kufanyiwa ukarabati Canada. Ilisema ukarabati huo unatarajiwa kugharimu Dola za Marekani milioni sita (Sh. bilioni 13.860).

Ndege hizo zilinunuliwa na serikali zikiwa na uwezo wa kubeba abiria 76.

MY TAKE:

Biashara ya ndege ni Gharama sana.. Matengenezo yake ni ghari ukilinganisha ni hela inayoingia. Ndo maana watu wanashangaa Mtu mwenye akili timamu kunua ndege huku Hospital haizina Madawa.

"Mtu ananunua ndege badala ya vifaa vya Zahanati, hii ni akili au matope.?" by Mhe. Halima James Mdee.

KQ Dreamliner ipo pale Uwanja wa Dar Mbovu ina mwezi sasa na PolePole anasema wakenya wenyewe hawana hata shobo nayo.......
 
Wabongo sijui tumelongwa na nan????[emoji37][emoji37][emoji17]yani tunapenda kuona mambo yetu yanafeli hapo ndo furaha inakuingia sasa cjui mtoa mada na huyu jamaaa [emoji116][emoji116][emoji116]watakuwa wanampango gan na nchi yetu!! it's shame kuona mtu anasema et angeagiza kama angesikia imewaka moto

Mbona dreamliner ya Kenya airways ipo pale JNIA na winchi zikibeba ingini lakn sijaona kama wakenya wakipondea matengenezo hayo???View attachment 1031598

Sent using Jamii Forums mobile app
si kuwa tunafurahia majanga haya
 
Leo kuna shamrashamra hapo ufipa hadi usiku, makamanda wanapongezana kufuatia kugongwa kwa Dreamliner, duh kaaz kwel kwel.
Nani kasababisha hii hali? Ikiwa watu wamefikia hata hatua ya kumtakia heri punda apone haraka kuliko mtu, unafikiri chuki hii kaijenga nani?! Maana yote hayo hayaji hivi hivi lazima kuna uonevu, ugandamizaji na matumizi ya mabavu dhidi ya watu fulani. Sasa waathirika wa hayo inapotokea mwenye mabavu anapata shida au kuugua wao silaha yao ni kucheka na kushangilia. Kosa liko wapi?! Uliona wakati spika amelazwa na hii ajali ya punda watu walivyokuwa wanacomment ndio ujue kuna mtu kaharibu umoja wa kitaifa na utu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo sijui tumelongwa na nan????[emoji37][emoji37][emoji17]yani tunapenda kuona mambo yetu yanafeli hapo ndo furaha inakuingia sasa cjui mtoa mada na huyu jamaaa [emoji115][emoji115][emoji115]watakuwa wanampango gan na nchi yetu!! it's shame kuona mtu anasema et angeagiza kama angesikia imewaka moto

Mbona dreamliner ya Kenya airways ipo pale JNIA na winchi zikibeba ingini lakn sijaona kama wakenya wakipondea matengenezo hayo???View attachment 1031598

Sent using Jamii Forums mobile app
Imegongwa na yenyewe? Maana nasikia kwao ziligongana wakati zikipark

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mambo mengi yanayogusa moja kwa moja wananchi wa kawaida kama maji, barabara, afya, umeme nk. siku hizi hayaongelewi hayo ila habari za ndege zipo humu kila kukicha
 
Muda mfupi uliopita,umeletwa uzi hapa mtandaoni unaodai ndege yetu ya Dreamliner imegongwa na kwamba imewekwa katika mazingira yanayoonyesha ndgege hiyo imefichwa.

Swali ni je,kama kweli imegongwa,kwanini ifichwe ili hali hiyo ni kama ajali tu?

Je,si kwamba ingekuwa ni busara kuonyesha sehemu ilipogongwa ili kuondoa uvumi unaoweza kuibuka kwa kuificha?

kama kweli wahusika wameificha kama inavyodaiwa,watu wakianza kuongea kwa hisia mtawaalamu?

Mamlaka husika jitokezeni mueleze ukweli wa kilichotokea.
 
Change could be positive or negative.

Sent using Jamii Forums mobile app
I am in a positive way - endeleeni kutumia ndege huku mmekunja uso, endeleeni kutumia barabara huku mkiinanga serikali, endeleeni kutumia umeme huku mkiipiga serikali mawe, endeleeni kutumia vituo vya afya huku mkiiponda serikali - mwishoni kabisa mtagunduwa kwamba Serikali ya JPM ipo kwa maslahi ya watanzania wote
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom