Me nasema ukweli simuoni Kama atafika mbali cos huko mbele washiriki wataambiwa waimbe bila gita hapo ndo dogo atayumba kiukweli kwenye vocal dogo bado Sana maana nimeona washiriki wengine wanavocal kali kuliko bwana mdogo ila kwenye gitaa anajua Sana kulipiga.Dogo anajua.
Nasubiri comment za wachawi...
Inabidi awa BSS kabla hawajaenda mbali wawe wanafanya performance review ya maamuzi yao si ndio hawahawa walimwambia kondeboy hana kipaji ? So usishangae dogo akapotea mapema tu na kipaji chake
Mshindi gani wa BSS anayewika hadi leo???
Hapana usiseme hakuwa na kipaji,kipaji alikuwa nacho ila alikuwa anahitaji watu wa kumpika ili aweze kuiva na kipaji chake kionekane so wakati anaenda bss alikuwa hana mazoezi ya kutosha,alikuwa hajui hats aimbeje au kwa Sauti yake anatakiwa aimbeje hivi tu but the guy had a talentKipindi kile konde boy kweli kipaji alikuwa Hana hata kuongea maneno sahihi alikuwa awezi majaji walikuwa sahihi kumtema. kwenye ile siku wakati anaimba alisema maraika badala ya malaika hata vocal yake ilikuwa ya chini Sana na kipindi kile alikuwa aimbi Kama mond.
Baadae mondi akamshukua wakamuweka WASAFI mwaka 1 mzima bila ya harmo kutoa ngoma kwaajili tu yakumnoa na training ya vocal pamoja na kumfundisha jinsi ya kuperform jukwaani baada ya happy ndo maana ukaona sauti ya harmo ikafanana Sana na diamond kutokana na kukaa nae Sana tokea hapo ndo akawa vizuri.
Kayumba alitoka mkubwa na wanawe kwa Said felaYuko vyema. Lakini utashangaa wakata viuno na wajanja wajanja ndio wataenda kushinda.
Kama msimu ule alioshindaga yule dogo wa temeke Kayumba sijui walitumia kigezo gani? Wakamuacha yule jamaa wa arusha alikuwa anajua sana.
The mgusi, Dogo anajua sana, sema ndio hivyo bongo hadi utoke ni ishu angalau sasa kaenekana Bss
bss nilishaachaga kuangalia baada ya kujua kuwa madam mshirik atakaempenda ndo lazima ashinde. chunguza hilo..Yuko vyema. Lakini utashangaa wakata viuno na wajanja wajanja ndio wataenda kushinda.
Kama msimu ule alioshindaga yule dogo wa temeke Kayumba sijui walitumia kigezo gani? Wakamuacha yule jamaa wa arusha alikuwa anajua sana.
lini na nani walimwambia asipige gitaa lake..??Me nasema ukweli simuoni Kama atafika mbali cos huko mbele washiriki wataambiwa waimbe bila gita hapo ndo dogo atayumba kiukweli kwenye vocal dogo bado Sana maana nimeona washiriki wengine wanavocal kali kuliko bwana mdogo ila kwenye gitaa anajua Sana kulipiga.