Hiram Abiff
JF-Expert Member
- Apr 14, 2013
- 896
- 676
Yuko vyema. Lakini utashangaa wakata viuno na wajanja wajanja ndio wataenda kushinda.
Kama msimu ule alioshindaga yule dogo wa temeke Kayumba sijui walitumia kigezo gani? Wakamuacha yule jamaa wa arusha alikuwa anajua sana.
Kigezo ilikuwa ni mkataba wao na Mkubwa na wanae