CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,255
- 12,872
kaa ukijua charminglady mwenyewe hakujipigia kura,wakili wake hakumpigia kura,anaawala yake C6 hakuonekana kupiga kura,watu walikuwa wanafanya campain za kufa mtu na matokeo ndio hayo.kusanya ushahid uje hapa,ama la uje ukili kama matokeo ni ya kwel na haki
angalia ktk hii comment kuna kauli cjaipenda, sema natumia cm siwez kubold. tafadhali i-edit cjaipenda hata kidogo
Shukrani sana muandaaji, Ruhazwe Jr kwa zoezi zima. Sasa niwakati wangu wa kutekeleza ahadi.
niliahidi kwa wasionipigia kura kuwapeleka mabwepande!
hahahaha. Kitumbua chenyewe kimoja halafu na wewe unakitaka?
Hongera Remmy
Tena utekeleze haraka laa sivyo hatutakuchagua tena.
Tena Maporini huko kutafaa kweli kwa kuanzia maana tutakuwa wawili tu au ..??
Tena Maporini huko kutafaa kweli kwa kuanzia maana tutakuwa wawili tu au ..??