Mshindi Wa Kwanza Wa Rap Moro Town late 80s

MTAZAMO

Platinum Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
20,213
Reaction score
35,867
Kwa hisani ya JOHN DILINGA ..... CC Kiranga
10572015_670455743069098_3251864374439441428_o.jpg
 
Michano ya Prince of Rap Enzi hizo .....Moro town stand up ......:cool2:
 
Dah..huo msalabaa ni shidaa

Hahahahaha......yaani kila nikiangalia hii picha nacheka saaaana.......ujue marapa wa zamani walikuwa na hisia za hatari .....
 
Huo mslaba alingoa kwenye kaburi la marehemu babu yake?
 
enzi hizo Rap ikionekana ni uhuni
 
Duh, mimi natafuta za Fresh XE Lang'ata circa 1990. Mashindano ya rap.
 
Naomba kujua ukumbi wa mashindano! kISUNYALE! DDC! Daaah, Morogoro bana, I miss u, Mango garden! Morogoro Hotel! Bwalo la umwema!

Moro sec, JB Matata, KG aka Kigurunyembe, Forest Hill "kwa Patel", nyambaaaf zao walioua UMISSETA! I see, hakuna nyakati nzuri kama zamani!
 
miaka hiyo ndo mziki aka hip hop ndo usiseme ya ukweli kinoma..arusha tulikuwa tuna ma concert metro,makundi kama HARD CORE UNIT,WATURUTUMBI,WATUKUTU WA KUZIMU,DESPERADO,ACHOMPONG CLAN
 
Wakati Mr.Ebbo akiimba R&B za hatari kabla ya kutoka kivingine na lafudhi za kimasai.........
 
Hapo umenikumbusha enzi hizo moro tulikuwa na makundi kama Watukutu,Zeedompii,Wapayukaji,marehemu Boy G na mengine mengi Rock Gaden na Mango park pia Moro hotel ndio vilikuwa viwanja vya ukweli
Baunsa maarufu alijulikana kwa jina la Gamba dah nimekumbuka mbali sana
 
Naomba kujua ukumbi wa mashindano! kISUNYALE! DDC! Daaah, Morogoro bana, I miss u, Mango garden! Morogoro Hotel! Bwalo la umwema!

Moro sec, JB Matata, KG aka Kigurunyembe, Forest Hill "kwa Patel", nyambaaaf zao walioua UMISSETA! I see, hakuna nyakati nzuri kama zamani!

enzi zenu kaumba haikuepo nini
 
Hapo umenikumbusha enzi hizo moro tulikuwa na makundi kama Watukutu,Zeedompii,Wapayukaji,marehemu Boy G na mengine mengi Rock Gaden na Mango park pia Moro hotel ndio vilikuwa viwanja vya ukweli
Baunsa maarufu alijulikana kwa jina la Gamba dah nimekumbuka mbali sana

Huyu Gamba alikuwa anafanya tizi Masuka v. Hotel, mazoezi yake yalikuwa yafaa kushangaa!
 
Back
Top Bottom