Mnh! Bado tu upo kwenye Uchaguzi Mkuu 2015!!!!Bora tu kakosa ahahahha
Mnh! Bado tu upo kwenye Uchaguzi Mkuu 2015!!!!Bora tu kakosa ahahahha
“One person's fact is another person's noise.” IQ differ
Tungehama nchiKweli Mkuu, ingekuwa ndo Diamond hapo; angekuwa angekuwa kama huyu jamaa hapa chini:
View attachment 360269
View attachment 360270
Diamond ni jirani yako nini mzee?! Au ni mshikaji huwa mnakutanaga maeneo na ku-share stories?!Tungehama nchi
Wa Dar katika uboraDiamond ni jirani yako nini mzee?! Au ni mshikaji huwa mnakutanaga maeneo na ku-share stories?!
Jibu swali manake watu hamuishi viroja! Utasikia "jamaa ana nyodo, mara hivi mara vile!" wakati mtu mwenyewe humjui zaidi ya kumuona kwenye tv... na wala hakujui japo kwa jina! Sasa hapo watu huwa ndo tunashangaa-- mtu hakujui, humjui... hizo nyodo mnazionea wapi?! Ingekuwa mshikaji wako, tungesema mki-meet au akikuvutia waya; full shobo! Au ingekuwa ni jirani yako tungesema unaziona shobo zake live... cha ajabu, neither of that!Wa Dar katika ubora
hahahahh angepata wangesifia..Sizitaki mbichi hizi
uwiiiiiii simba atakula mikahawa yote sasaTuzo kachukua Black Coffee. Pole Chibu but we ndo mchizi wetu wa dhahabu, kaza but next time utachukua tu.
NO, THE WINNER IS WIZKID KUTOKA REPORT YA WEB YA DAILYMAIL NEWSTuzo kachukua Black Coffee. Pole Chibu but we ndo mchizi wetu wa dhahabu, kaza but next time utachukua tu.
Black coffin anafanya muziki aina gani?
nafikiri hicho ndo kigezoUnajua watu wengi kama kitu/mtu hawamjui basi wanamuona mtu huyo au hicho kitu sio muhimu ambapo sio kweli.
Hauwezi hata kidogo kufananisha international influence ya diamond na ya dj black coffee, black coffee ana play party za Ibiza spain, Miami ambazo zipo sold out btw diddy alimuomba black coffee to be on tha decks on his bday party, ukiacha SA black coffee anajulikana zaidi europe na americas kuliko Africa.