Mshindi wa BBA Idris

Watu wana hela hawana mawazo. Watu hawana hela wana mawazo lukuki.

Nipe milion 50 baada ya miaka miwili nikurudishie milion 500.
 
Alikosea kukachukua mawazo ya watu wanafikra finyu kama yeye...

Investment zipo kibao ni kutuliza akili na Kuwa na fikra zinazovuka mipaka zaidi...
 
Hela ipo mfukoni kwa mwenzako,wewe waipangia matumizi
 

I think he made a good choice ukizingatia kwamba tayari ana image kubwa na hivyo he can be a good brand, mambo ya clothing ni branding zaidi na ubunifu

Kuhusu ushauri wako wa awe innovative zaidi, je ulikua na idea gani?? na hizo investment ni zipi unazorefer?
 

Nzalendo umetisha kukaa kibarazani na msuli haha haya bana
 
Ndg. Idris seems ana akili ya maisha tofauti na mastaa wengi wa Bongo (Diamond excluded). Mbali na hivyo akiamua kula/kuto.mbea hela yote ni Sawa tu,hakuna kesi

Hala hala tuuu asijiingize kwenye makundi ya lete tuu ya kina Wema, ataishiwa kabsaaaa
Cha msingi aendelee na girlfriend wake aachane na kina chuma ulete Wema Sepetu
 
Kuna watu hapa wanasema tumwache pesa ni zake.. Lakini wanapofuliaga wao ndio wa kwanza kuandika humu kwamba alitumia pesa vibaya. Heri sie tunaomkosoa wakati anajijenga kuliko nyie mnaosubiri aishiwe muanze kumsema..

Najua atapita hapa, au ataambiwa kwamba kule kwa great thinkers wanakujadili na atakuja mbio.. Ushauri mdogo aachane na kina Wema sijui Lulu, Ommy Dimpoz afanye vitu vya msingi. Kuna wakati alitweet Mo kamwita ofisini kwake wakaongea, I was like, yes the young boy is on the right truck maana hao ndio watu anaotakiwa awe karibu nao kwa kipindi hiki anatafuta cha kufanya na hiyo pesa yake lakini hii ya kushinda na kina Wema sijui Hamisa Mabeto hatofika popote.. Hata Le Mutuz anasemaga ndege wafananao huruka pamoja
 
Bongo movie kweli hazieleweki hapo namuunga mkono.
 
kila mtu ana matumizi yake kwenye hela yake...kama ningekuwa mm ningeoa wake watatu kwa mpigo kama Anko Ngasa
 
500m unafikiri atapata chumba na sebule ngapi?! Itamchukua miaka mingi sana kurejesha hiyo pesa.
Mimi naona yuko sahihi, sidhani kama mayai yake yote ameyaweka kwenye kapu moja.
si chumba na sebule tu.
Fremu pia zitahusika
sehem tofauti tofauti uswahilini
''kila mwaka ardhi(nyumba) hupanda thamani
kwa pesa hiyo atamiliki zaidi ya nyumba 20 za hali ya chini.

 
Pesa ya kwake muacheni,nyie nani anawapangia matumiz? Acheni hizo tafuteni zenu mtumie mnavyotaka,Acheni kimbelembele
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…