Mbao za Mawe JF-Expert Member May 11, 2015 23,373 54,758 Sep 8, 2018 #2 Sina muda wa kukunja ngumi ni Mkanda wa kichwa kila mtu anaenda kutekeleza ilani yake huko mbele ya safari.
Sina muda wa kukunja ngumi ni Mkanda wa kichwa kila mtu anaenda kutekeleza ilani yake huko mbele ya safari.
Bishop Hiluka JF-Expert Member Aug 12, 2011 7,140 14,680 Sep 8, 2018 #4 Namhurumia sana aliyevaa kiraia maana hachelewi kugeuziwa kibao kuwa ni gaidi...
K kamarah JF-Expert Member Nov 8, 2016 884 1,735 Sep 8, 2018 #5 Unampiga alafu unamvua nguo zote anabaki na bukta tu, alafu unamrusha kichura chura mpaka kwa Muroto au Lugola
Unampiga alafu unamvua nguo zote anabaki na bukta tu, alafu unamrusha kichura chura mpaka kwa Muroto au Lugola
Elvis Legacy JF-Expert Member Aug 10, 2017 3,400 4,745 Sep 9, 2018 #6 Hapa kamanda lazima achezee vibanzi.Amekutana na Ninja