nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 12,940
- 14,753
Teh teh teh teh
Jamani mshikaji analalamika sana kwamba msichana wake a napenda hela sana, eti hela ya saluni tu anataka shilingi elfu Sita (TSHS 6,000).
Tumsadieje huyu jamaa kwenye haya mahusiano?
Sote ni watanzania bi atoto, we come from humble beginnings. Hatuna sababu ya kuwaona walio na kidogo kuwa hawana haki.
Si uliona kuwa Manga ML ni zaidi? Kumbatia mto sasa...
elfu sita analalamika???? elfu sita hata lunch haitoshi khaaa si amwambie beibe kua hana hizo hela kuliko kumchoresha!!!
Elfu sita mbona inatosha sana salon? mi natumiaga elfu 5
Pesa katika mapenzi ni kama kachumbali katika pilau. Unaweza ukala pilau bila kachumbari lakini ladha yake itakua tofaut na aliyeweka chachandu.pesa hunogesha penzi lakin sio kila kitu katika mapenzi. Wazungu wana msemo wao: too much of anything is harmful. Keep it constantly in your mind. Kwa hiyo pesa itumike lakin wapenzi wasiangalie sana pesa, mpaka mkasahau dhumuni lenu (mapenzi).
Anasuka MABUTUHuyo mshikaji wako ni lofa
na huyo shemeji ako sh 6000 anasuka "twende kilioni" au "mdomo wa kuku"?
Teh atleast mabutu ya buku sita yatakua poaAnasuka MABUTU