Mshikaji analalamika mpenzi wake anapenda pesa

Mshikaji analalamika mpenzi wake anapenda pesa

6,000 Tsh. ($ 3 approx.) Takwimu zinaonyesha kuwa bado asilimia fulani ya watanzania wanaishi chini ya $ 1 (2,000 Tsh) kwa siku. Sidhani kama unatakiwa kushangaa hili.

Basi sawa mkuu.
 
Jamani mshikaji analalamika sana kwamba msichana wake a napenda hela sana, eti hela ya saluni tu anataka shilingi elfu Sita (TSHS 6,000).

Tumsadieje huyu jamaa kwenye haya mahusiano?

6000 tu...!!!! au kuna jingine hajakueleza.
 
Sote ni watanzania bi atoto, we come from humble beginnings. Hatuna sababu ya kuwaona walio na kidogo kuwa hawana haki.

Si uliona kuwa Manga ML ni zaidi? Kumbatia mto sasa...

Una hakika mie mtanzania? Watakuwaje na haki ilihali hawaujui wajibu wao? Hakuna haki bila wajibu.

Ona sasa balaa lako, umemuita ili iweje? Basi tena nimeghairi.
 
Last edited by a moderator:
Kaaaah, ELfu 6000, yakitanzania au? huyo jamaa yako mwambie ale kwa kusindikiza kwa macho tu, wanawake atafute wa Wireless
 
Pamoja na kukupandishia mshahara bado unafulia!! Aisee itabidi nikufundishe na bajeti
Boss si Unajua hela ikiongezeka na matumizi yanaongezeka. Ila nishajipanga vizuri, so next month Ntakula bata tuu. Au unawezapo kuniongezeapo tena ka mshahara teh
 
Boss si Unajua hela ikiongezeka na matumizi yanaongezeka. Ila nishajipanga vizuri, so next month Ntakula bata tuu. Au unawezapo kuniongezeapo tena ka mshahara teh

Daaaaah!! Sasa hapo inabidi tukuongezeepo na muwezeshaji kwakweli.
 
Hehehhehe boss that's the past now, nyota ya jaha imeniangukia, tutaongea vizuri kesho ofisini

Ooooh thats a good news to hear, hayo ndio mambo sasa, sio unajibebesha mzoga ulomshinda fisi unajifanya wewe bingwa.
 
Ooooh thats a good news to hear, hayo ndio mambo sasa, sio unajibebesha mzoga ulomshinda fisi unajifanya wewe bingwa.
Utanipa Majibu wewe mwenyewe, just wait nisije nikaropoka bure nikaharibu le surprise
 
Hahahaaaa!! Bora kwakweli niwe na kibabu changu, haya maudhi siyapati kabisaaaa, Sasa hela hamna alafu mnataka kupendwa!! Sabuni hamzioni.

utatushauri tutumie sabuni kisa hatuna hela au?
 
Tunasaidiana kufanya nini? Sasa kama huna hela utanisaidia nini?

sina hela na sitaki kutumia sabuni sasa. ila ngoja nitafute hela kwanza ndo nitafute mrembo hapo baadae
 
Back
Top Bottom