okoyoko
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 2,664
- 3,653
miss chagga hebu njoo umfunde huyu jamaa
Last edited by a moderator:
Nyie mnaodharau elfu sita mnaweza kuzitumia
hiyo elfu sita nikinunua pilipili zote utazimaliza kwa kuzila ?
Chumvi za elfu sita unatumia siku ngapi kuimaliza ?
Kila siku uambiwe ulambe sukari ya elfu sita utakubali ?
6000 X 30 = 180000
180000 X 12 = 2160000
2160000 X 10 = 21600000
Ndio maana watanzania hatuendelei kwa kudharau hela ndogo
Jamani mshikaji analalamika sana kwamba msichana wake a napenda hela sana, eti hela ya saluni tu anataka shilingi elfu Sita (TSHS 6,000).
Tumsadieje huyu jamaa kwenye haya mahusiano?
teh teh..hujatulia ww lolHaswaaaaa
Hana cha period mimba wala bedrest....
Hana cha kuchoka wala kujisikia vibaya
Wala haitaji nguvu kubwa kumpa mzuka..... wala romance
Naona aibu hadi nimegeukia pembeni
aachane na mapenzi mpaka atakapokuwa tayari kiakili na kiuchumi. Na kama 6,000 ni nyingi ina maana yuko daraja la chini la kijamii na kiuchumi. Atumie muda wake kujikwamua badala ya kutaka kuzuia mafuriko kwa mkono. Hata mpenzi asipoomba hela ya saluni mapenzi ya mjini bado yanahitaji hela. Sasa wanakutana wapi? kwenye viambaza au chini ya miti? Acheni kulialia bana tafuteni hela. Tatizo wengine wanakulia kwenye zile jamii ambazo ukishabalehe na kuweza kununua kitanda tu unakuwa umefaa kuoa. Unakuta nyumba ina baba, mama, wana, wakamwana na wajukuu. Chai wanakunywa saa 6, usiku wanakula kijipane cha samaki na ugali......... ni shida.
Ndo ujikune mkono unapofikia na hiyo buku sitaswali la mwisho kabla hujaona aibu vizuri unajua kazi itakayokupatia elfu sita kwa kanjibahi kariakoo ipoje ?
trip utakazopiga kama unatembea kuelekea uelekeo mmoja utafika chalinze ukitokea dar sio poa
elfu sita ndio kipato cha baadhi ya watu kwa siku hapa tz na watu wanafamilia na maisha yanaenda
mi kama mimi elfu sita ni hela japo haitoshi kwa baadhi ya matumizi
miss chagga hebu njoo umfunde huyu jamaa
miss chagga akiiona hii atasonya.