Tumsahidie vipi wakati hatumuhoni wala kumjuha?
Kwanza kabisa hakuna secretary wako hapa wa kumpa mtu ujumbe wake kutoka kwako, kwa hiyo umeanza vibaya.Kama televisheni unaijua tafuta contacts zao, waanikie au wapigie simu.
Halafu wewe mwenyewe muandishi uko incoherent, mara tumsaidie mara tatizo lake si yeye, kama tatizo lake si yeye tumsaidie nini sasa?
[/QUOTE]
Unajua si lazima uandike ili uonekane umeandika!!!! Kama huna cha kuchangia ni busara zaidi kukaa kimya kuliko kuongea upupu!!! Kwanza kabla hujaandika lazima uelewe hoja ya msingi-kv busara zipo mfukoni umeshindwa kuelewa nilivyosema si yeye manake ni nini-hapa si pa kufundishana lugha, usahii ni kukaa kimya kama huna cha kuandika
Halafu umejaza vitu usivyovijua, hujui kama anatangaza kwenye redio, hujui hata jina lake, ebo, sasa wewe unakuja na serious accusations hata mtu mwenyewe huna taarifa zake za kutosha?
Ona sasa, ndo matatizo ya kurukia mada na kuandika kabla ya kusoma!!! Nimesema anatangaza Mlimani Tv, but am not sure kama anatangaza na Mlimani Radio-so tatizo lipo wapi hapo?!hiyo ina athari gani katika hoja ya msingi?!!!
Halafu vipi kama akikwambia kazi za utangazaji zinawataka watangazaji wafuate certain conventions, kuanzia dress fulani kwa vipindi fulani mpaka poses.Tunaona watangazaji wa TV mpaka viwanja wanavyostrike poses na kuzungusha mibichwa from angle to angle, there is no originality in that, that shyt is scripted.Ukitaka kufanya kazi yenye originality nenda kawe actor, si mtangazaji wa TV, huyu hayuko pale kuwa original, if anything mtu anaweza kusema watangazaji wa habari wako rather bland and conventional, unles uniambie kuna kitu zaidi katika kipindi chake zaidi ya a typical anchorman.
Sikujua kwamba na wewe ni miongoni mwa wagumu wa kuelewa humu jamvini!!! sasa suala kwamba hata mamtoni wanafanya hivihivi ndo nini?! kwahiyo as far as mtoni wanafanya hivyo hivyo then approved?!
Hakafu hujatuonyesha nani kamuiga nani, na kwa nini unafikiri hivyo, umejaribu kutuonyesha tu kwamba watangazaji wawili wanafanya kitu kimoja.
Hii hapo inathibitisha kwamba ulidandia mada!!!! Kama usingedandia ungeona nimesema nani anamuiga nani!!!!
Wakiniambia nafanana na Will Smith, nawaambia hapana, Will Smith anafanana na mimi.
Ni kweli huelewi au ni hobby yako kumwaga upupu? Nani kasema Nurdini amefanana na Marin Hassani? Umeanza lini kujifunza kiswahili? tangu lini mtu akisema Mr X anamuiga Mr Y, tafsiri sahii ni kwamba Mr. X amefanana na Mr Y?!!!!!![/QUOTE]
I am serious, msahidieni mtangazaji huu!!! Bado ni kijana mdogo ambae bila shaka anahitaji mafanikio kwenye kazi yake, lakini tatizo lake si yeye. Kijana huyo wa makamo, ni mtangazaji wa kituo cha televevisheni cha Mlimani TV, sina hakika kama ni mtangazaji wa redio vile vile. Huyu mheshimiwa anaitwa Nurudini nani sijui lakini inaelekea anaipenda sana kazi yake. Ukimuona kwenye screen ya tv, anavutia tatizo ni kwamba hayupo original. Sio siri, endapo utamsikiliza bila kumuangalia, unaweza kuamini mtangazi aliye hewani ni Marini Hassani wa TBC 1! Kinachonifanya nimuhurumie zaidi, hata pozi zake ni 100% Marini Hassani? Marini Hassani ana pozi zake Fulani za uwekaji wa mkono, huyu bwana nae anafanya hivyo hivyo!!! Hoyaa mshikaji, nahisi unapotoka wangu, stop being a wanna be! Kwneye kioo unauzika man, but be yourself!!! Dah, sina hakika endapo ataupata ujumbe huu, lakini anayemfahamu amshauri mshikaji awe yeye kama yeye na si kama Marini Hassani!! Najua hili tatizo wanalo watu wengi, lakini kwa mshikaji naona ni kubwa zaidi; hadi pozi wangu?!
Sizungumzii muonekano, nazungumzia sauti. assume kuna interview kutafuta mtangazi na kutumia kigezo cha sauti- wewe utamchukua nani? original au artificial?
I am serious, msahidieni mtangazaji huu!!! Bado ni kijana mdogo ambae bila shaka anahitaji mafanikio kwenye kazi yake, lakini tatizo lake si yeye. Kijana huyo wa makamo, ni mtangazaji wa kituo cha televevisheni cha Mlimani TV, sina hakika kama ni mtangazaji wa redio vile vile. Huyu mheshimiwa anaitwa Nurudini nani sijui lakini inaelekea anaipenda sana kazi yake. Ukimuona kwenye screen ya tv, anavutia tatizo ni kwamba hayupo original. Sio siri, endapo utamsikiliza bila kumuangalia, unaweza kuamini mtangazi aliye hewani ni Marini Hassani wa TBC 1! Kinachonifanya nimuhurumie zaidi, hata pozi zake ni 100% Marini Hassani? Marini Hassani ana pozi zake Fulani za uwekaji wa mkono, huyu bwana nae anafanya hivyo hivyo!!! Hoyaa mshikaji, nahisi unapotoka wangu, stop being a wanna be! Kwneye kioo unauzika man, but be yourself!!! Dah, sina hakika endapo ataupata ujumbe huu, lakini anayemfahamu amshauri mshikaji awe yeye kama yeye na si kama Marini Hassani!! Najua hili tatizo wanalo watu wengi, lakini kwa mshikaji naona ni kubwa zaidi; hadi pozi wangu?!
Niwe na chuki na m2 asiye na interest yoyote kwangu ili iwe nini? Simfahamu, hanifahamu na wala sipo kwenye media industry!!!sasa kwanini nimchukie? yule hajafanana na marini hassani hata kwa nukta moja, but he wanna be like marini hassani. kama unampenda, mshauri awe original kama anataka ku-advance kwenye kazi yake. hebu muangalie kwenye kipindi cha magazeti umuone. ni nini hicho alichofanana na marini hassani? ile sio "look like" bali ni "wan-nabe"
Hii siyo chuki binafsi, kama nimemuelewa vizuri mwandishi wa hii kitu anaonyesha hana tatizo lolote na kazi yake bwana Nurudin bali ni ile hali ya kutokuwa original (the sense of being real). Ofcoz jamaa anaonyesha kuipenda sana kazi yake na ni mtu anayeonyesha kujiandaa vyema kabla ya kipindi hasa anapokuwa kwenye kipindi cha mahojiano, which is good and I give him 5 kwa hilo but namuunga mkono mtoa maada hii kuwa jamaa hawi original ( hawi real ), nilikuwa sijui kama anaiga utangazaji wa Marina Hassan but huwa naona wazi kabisa jamaa sio yeye kabisa, sio real kabisa
mbona membe anamuiga jk na hamsemi??