I am serious, msahidieni mtangazaji huu!!! Bado ni kijana mdogo ambae bila shaka anahitaji mafanikio kwenye kazi yake, lakini tatizo lake si yeye. Kijana huyo wa makamo, ni mtangazaji wa kituo cha televevisheni cha Mlimani TV, sina hakika kama ni mtangazaji wa redio vile vile. Huyu mheshimiwa anaitwa Nurudini nani sijui lakini inaelekea anaipenda sana kazi yake. Ukimuona kwenye screen ya tv, anavutia tatizo ni kwamba hayupo original. Sio siri, endapo utamsikiliza bila kumuangalia, unaweza kuamini mtangazi aliye hewani ni Marini Hassani wa TBC 1! Kinachonifanya nimuhurumie zaidi, hata pozi zake ni 100% Marini Hassani? Marini Hassani ana pozi zake Fulani za uwekaji wa mkono, huyu bwana nae anafanya hivyo hivyo!!! Hoyaa mshikaji, nahisi unapotoka wangu, stop being a wanna be! Kwneye kioo unauzika man, but be yourself!!! Dah, sina hakika endapo ataupata ujumbe huu, lakini anayemfahamu amshauri mshikaji awe yeye kama yeye na si kama Marini Hassani!! Najua hili tatizo wanalo watu wengi, lakini kwa mshikaji naona ni kubwa zaidi; hadi pozi wangu?!
Dogo
Nimeshindwa kusoma font size nadhani ni below 8 hii?? Au na wewe mambo ya kuiga haya?
kizuri huigwa kibaya hupotezewa
Nasikia marini ni bwabwa, punga, mtoto wa watu
jamani tuwe na uhakika na tusemacho,kwa hili uhakika uko wapi?Una maana mtoto si rizki au?
enhhhheeee,nasikia marini ni bwabwa, punga, mtoto wa watu
I am serious, msahidieni mtangazaji huu!!! Bado ni kijana mdogo ambae bila shaka anahitaji mafanikio kwenye kazi yake, lakini tatizo lake si yeye. Kijana huyo wa makamo, ni mtangazaji wa kituo cha televevisheni cha Mlimani TV, sina hakika kama ni mtangazaji wa redio vile vile. Huyu mheshimiwa anaitwa Nurudini nani sijui lakini inaelekea anaipenda sana kazi yake. Ukimuona kwenye screen ya tv, anavutia tatizo ni kwamba hayupo original. Sio siri, endapo utamsikiliza bila kumuangalia, unaweza kuamini mtangazi aliye hewani ni Marini Hassani wa TBC 1! Kinachonifanya nimuhurumie zaidi, hata pozi zake ni 100% Marini Hassani? Marini Hassani ana pozi zake Fulani za uwekaji wa mkono, huyu bwana nae anafanya hivyo hivyo!!! Hoyaa mshikaji, nahisi unapotoka wangu, stop being a "wanna be!" Kwneye kioo unauzika man, but be yourself!!! Dah, sina hakika endapo ataupata ujumbe huu, lakini anayemfahamu amshauri mshikaji awe yeye kama yeye na si kama Marini Hassani!! Najua hili tatizo wanalo watu wengi, lakini kwa mshikaji naona ni kubwa zaidi; hadi pozi wangu?!
Na ni kwa nini upoteze utu wako kwa kumuiga mtu mwingine? kwa nini watu wasikuige wewe? huyu mtangazaji anajipotezea utu wake.Atafute stahili yake mwenyewe ya utangazaji
Chuki binafsi,Nurdin is a good guy na ni presenter mzuri,creative,By the way ni mchanga kwenye tasnia hii,Hopely atakuwa kama Marini au zaidi.
Kama Marini anatangaza vizuri sana na Nurdin amwigiza vibaya basi hiyo ni issue, lakini kama Nurdin anamwigiza vizuri Marini sioni tatizo lolote hapa. KUMBUKA KUNA WATU DUNIA YETU HIHI WANAISHI KWA KUIGIZA NA WANAHESHIMIKA SANA KWENYE JAMII.[/QUOTE]
ru talking about commedians ?