Mshaurini dada yetu jamani

Sasa sabau ya kutofurahia huyo bwana kukaa kwake ni nini? hakuna haja ya kuuza sehem hyo bana, shauri yake !! itakula kwake sasa hv akizubaa. mapenzi siku hizi ni busnez bana, jamaa akipata atakacho ansepa zake freeesh!!
 
hapa hakuna ndoa ni ndoano, na si vizuri sana kuangalia sexual satistifaction only, how about on the way family? Endapo unataka nao wawe wanaenda kukata viuno stagin sawa lakini endapo unataka
wasome na wawe na heshima kwenye Jamii basi aachane nae unless itakuwa responsibilility ya Mama!

wasome TTCL
 
Mkuu Geru, uko makini kweli.. unadiliki kumshauri mtu amwache mume wake? No no please.. Kwani nani kakwambia Wakongoman hawawezi kuoa na kutulia? Siyo vizuri kwenye maisha ya kawaida kuanza kuingiza probabilities. Mwache dada wa watu amwoe Mkongo. Kwani kitu gani hakiwezekani katika dunia hii?
 
dada yako kashaamua kulea sasa anlialia nini tena?mwambie na hiyo nyumba amwandikishe jamaa kabisa, na wadogo zake huyo mkongo awaambie wahamie hapo hapo nyumbani ili akatikiwe ndmbolo vizuri,na ikiwezekana waanzishe na bendi kabisa:peep:
 
Mkuu Geru, uko makini kweli.. unadiliki kumshauri mtu amwache mume wake? No no please.. Kwani nani kakwambia Wakongoman hawawezi kuoa na kutulia? Siyo vizuri kwenye maisha ya kawaida kuanza kuingiza probabilities. Mwache dada wa watu amwoe Mkongo. Kwani kitu gani hakiwezekani katika dunia hii?[/QUOTE

hahahaha
DC hapo kwenye red imekuwa hivyo tena???:confused2:
 
Hawa ni investors wana sifa kubwa sana mjini hapa. Wanagombaniwa kwenye zile bar maarufu kule kinondoni,lol.
 
hahahaha
DC hapo kwenye red imekuwa hivyo tena???:confused2:

Kwani tatizo nini? Ina maana hujawaona wadada waliowaoa wabongo? Nahofia wanaume tusijekuambiwa tuna wivu tu kwa sababu mwenzetu anatesa kibongo bongo kwa kugawa mbegu!!
 
du dunia hadaaa ulimwengu shujaaa akihamia tu kwa mcongo basi bendi nzima nayo ndani na kibaa cha kreti mbili barazani dada mtoa huduma
 
Hizo ndizo za wakongo hawataki kuwajibika wanataka walelewe,nina mifano mingi kibaya zaidi atakuzalisha mfululizo zen anakuachia mzigo wa kulea,kuwa macho cha kufanya kama anauwezo mkapange,kuuza nyumba hapana na huyo amekupenda kwa sababu anajua una nyumba,hapo hakuna mapenzi ila ni mapenzi ya kutumiana.
 
Kwani tatizo nini? Ina maana hujawaona wadada waliowaoa wabongo? Nahofia wanaume tusijekuambiwa tuna wivu tu kwa sababu mwenzetu anatesa kibongo bongo kwa kugawa mbegu!!

Wala usihofu maana haina mvuto,wivu wa nini
 
wanaume jamani....yani unahangaika hivyo kisa kumvua mtu gagulo....kazi ipo kwa kweli.

Hata mimi hapo ndio huwa nashangaaga nyamayao yaani yote hayo ya nini kwani lazima, mbona wanawake wapo wengi tu kuna wasiopenda kuchezewa na wanaopenda kuchezewa tena wazuri tu sa c uende kwa hao kwa nini umfuatilie mtoto wa watu utoe mahari then umege umuache
 
Morality is the basis of things and truth is the substance of all morality.
 
wanaume jamani....yani unahangaika hivyo kisa kumvua mtu gagulo....kazi ipo kwa kweli.

Hapo sasa mi ndo nashangaaga kwani mbona wanawake wako wengi tu kuna wacopenda kuchezewa na wanaopenda kuchezewa tu tena wazuri. Kwa nini umfate mtoto wa watu katulia zake kwa nia ya kumchezea tu eti unatoa mpaka mahari ili iweje?
 
Hata mimi hapo ndio huwa nashangaaga nyamayao yaani yote hayo ya nini kwani lazima, mbona wanawake wapo wengi tu kuna wasiopenda kuchezewa na wanaopenda kuchezewa tena wazuri tu sa c uende kwa hao kwa nini umfuatilie mtoto wa watu utoe mahari then umege umuache

Maty,

Mbona una sahau kanuni rahisi za maumbile? Kama simba angekuwa anapenda mizoga angehangaika nini kuwinda tena katika mazingira hatarishi? Pride ya mwanamume ni kuangusha kitu cha nguvu...financially, urembo etc.
 
Sasa kama kwa mtu unayesema unampenda hujisikii kufurahishwa na chochote juu yake huwezimweleza hisia zako then how can you even think that you trully love the person???

Mimi nikishaona nina dalili ya kutaka ushauri juu ya uhusiano wangu (kama siwezi zungumza naye) basi naanza kudoubt penzi langu juu yake. Sasa huyu mdada anachotakiwa kufanya ni critically self-analyse herself kuona kama kinachomfanya asifurahishwe na huyo mpenziwe kukaa kwake ni suala la nyumba au ni mapenzi yake mwenyewe.
 
MJ1 at the end of the day she's the one who will have to decided what is the best for her, tunaweza kuwa tunampigia mbuzi gitaa bure hapa because we are not in his shoes so she knows better than we do so its up to her to live with her choices and decisions
 
ahh yan acha dada
sjui ata kwanini unafuga KALABASHA KM ILI..shda unyumba tu ndo uugharamie kwa nguvu ivi?kwa kupoteza rasilimali na mali zako zoooote???ahh jaman ..ina tanzanite??inameremeta?
mweee!!!
kwanza wamelegea legea walaiiiiiiiiini +cream zile bas wanatoa harufu fulan ivi ukimit nae usiku unaweza mwta we hadija........ndyo kwan uwongo ?wakitembea wanatembea km wanataka kucheza shamukware hahah mistak bwana!!!!!!!!

Rose rose kumbuka watu tupo kibaruani hapa kutuchekesha hv wenzio tutaja fukuzwa mwe!
 
Maty,

Mbona una sahau kanuni rahisi za maumbile? Kama simba angekuwa anapenda mizoga angehangaika nini kuwinda tena katika mazingira hatarishi? Pride ya mwanamume ni kuangusha kitu cha nguvu...financially, urembo etc.

Retired Maj Gen DC naona uko kikazi zaidi :yield:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom