Mshaurini dada yetu jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshaurini dada yetu jamani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Enny, Oct 22, 2010.

 1. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  kuna dada mmoja nimesoma naye, ana bwana wa Kikongo na huyo bwana naishi kwa huyo dada . Lakini huyu dada ameniambia hajafurahishwa na huyu bwana kukaa pale kwake ingawa alishajitambulisha kwa wazazi wake na kutoa mahari lakini angependa yeye ndio ahamie kwa huyo bwana. Ila tatizo bwana alikuwa na chumba kimoja tu ambacho sasa amewapa wadogo zake wanakaa. Kila akimwambia huyo bwana kuwa hajisikii vizuri yeye kukaa pale huyo bwana anashauri wauze pale walipo na wakajenge sehemu nyingine ambapo ndugu wa mke hawatajua kama ni kwake.

  Mimi nilijaribu kumwambia jina la hapo mahali lazima liwe lake, huyu dada amesema ndiyo hata huyo bwana hana tatizo ila ndugu wasiambiwe kama pale ni pake wajue ni kwa bwana.

  Mwenye ushauri zaidi tafadhari tumsaidie huyu dada.
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  waendelee kuishi hapohapo hakuan haja ya kuhama
   
 3. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  asipochafuka atajifunzaje?namaanisha asingekaribishwa hapo asingekuwa hapo sasa,dada na mkongoman watafute chumba,nyumba wakapange,swala la kuuza NO,watafute hela hapo papangishwe then wajenge kwengine upya sio kwa kutumia hela za kuuza nyumba,they should start a fresh.
   
 4. m

  muhanga JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mfungwa hachagui gereza, huyo kaka hana uwezo wa kuwa hata na nyumb a ya kupanga, iweje leo achague pa kuishi tena nyumba iliyojengwa na mke?? wao kama wako serious waangalie maisha yao wawili na si kuangalia watu watasema nini juu ya ndoa/maisha yao, mbona kuna mengi tu watasemwa?? wajificha wapi na macho ya walimwengu??:heh:
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  She should have know better amekutana na gold digger tena wakongo no joke, the only solution hapo ni huyo dada kuhakikisha whatever she does it is in his name otherwise itakula kwake by the way if i may ask kwani huyu mkongo yeye afanyi kazi duh! ila wakongo mario balaaa aangalie tu maana ni bomu linalosubiri kumlipukia
   
 6. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ah ah ah ni kweli nadhani na huyu ni mariooooooooooooooo
   
 7. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  acjerubunika huyo dada, kaam unakaa kwangu jua ni kwangu na ndugu zangu lazima wajue upo kwangu, kama unaona haifai ndugu kujua bac tukapange tuanze moja.
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Huyu mkongomani ina short mimi naona ni mariooo tu according kwa stori aliyotoa Enny huyo bidada awe makini kwenye kufanya maamuzi
   
 9. M

  Mama Beto Member

  #9
  Oct 22, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo there is no love, y mdada ajisikie vibaya bf wake kukaa kwake? Yani dunia ya sasa ni ya kujali kiasi hicho? No way, mdada ajilegeze na amkubali mkaka kama alivyo, kama anahofia ndugu na jamaa kusema mkaka anakaa kwake, ataweza kumridhisha kila mtu. Yakimzidi idea ya kupanga kwengine na kwa mdada kupangishwa iz good but in this world utakimbia mangapi, people are born to say...cheers
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145

  Ndio wale ukipewa lift unataka kupiga na honi
   
 11. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  wew bwana unajua WAKONGO? dahhhhhhhh mama amka simama toka nduki tena usiangalie nyuma
  wakongo wakija bongo shost wanakuja kwa kazi iz (nataman ungeniona vidole?kazi mbili tu;
  1.music
  2.kutumia MTAJ WA BABU
  apo pa mtaj wa babu ndo uyo shostito KAMWAJIRI UYO MKONGO na atamchuuuuuuuuuna vya kutosha mpk bdada akifunguka macho ah mkongo zaman sana ashakimbilia na kati ya kinshasa km si ya lumbumbashi....!!!
  kitendo tu cha kuhamia kwa bdada apo ni alama tosha ya uyo si MWANAUME KAMILI...mwanaume wa kweli wewe hawez kukubali aonekane kaolewa eti ahamie na beg lake kwako?ehh we uliona wap???? izi pipo za kongo zinazopenda a.ka.a WAKUJICHUBUA kwa KUPENDA KULELEWA weeeeee usiwapimie wao ni kukata viuno na kulelewa baaaaaaaaaas hawana kingne wanapokuwa jukwaani pale wanafanya kaz mbili kuburudisha na kujinadi(WENGI WAO) WANAONYESHA UJUZI pale na mademu wengne ndo ivo tena akicheki bf wake john massawe anampa mchezo nusu wala malav dav hakuna sasa akijifanya ngoja niijaribu i mashine ya KABILA baaaaaaaaas kushnehi wajukuuu wa moseseko wanajituma aooooo wakuvute dah bt mwsho wa siku ni kukuvuta tu we utazan umepata kumbe........ukiingia king unakombwa vyote unabak kun'gara sharubu.....!!!!!!
  kuna shost wangu yalimkuta alimkaribisha mkongo akakaa nae akatngazza ndoa ahh kumbe mkongo yupo kikaz zaid akampa nusu mwaka kuna iyo sku bdada anarud hm akakuta kakombwa kila kitu mpk brash la kuoshea vyombo..na alimlagai gali tuandke majina yetu bas kaka akachkukua akafanya magumash bas likawa lake........!!
  yan aukimbie uo ni moto utamuunguza si kitambo sana!!!!!
  WAKONGO WAMEKUJA KUTAFUTA PESA APA AWAJAJA KUOA UKO KWAO WANAFAMILIA ZAO......if ur real gud samaritan then go ahead!!!!
   
 12. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ah ah ah ah mwagalanyooooooooo:A S kiss:
   
 13. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  yote yote ckubaliani na ushauri wa huyu kaka kwamba mdada auze nyumba yake wajenge nyingine, hapo anamtafuna pole pole.
   
 14. T

  Tata JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2010
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,729
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  Huu ni ubabaishaji. Haya mambo walitakiwa wayajadili na kukubaliana kabla ya kuishi pamoja - maana inaonekana hata hiyo ndoa bado hawajafunga. Na huyu dada anatakiwa ajue uwezo wa mtu anayemchumbia kuwa hawezi kujenga nyumba. Sasa anataka huyu bwana aibe pesa za kujenga nyumba? Mimi nashauri aendelee kukaa naye tu hapo kwenye nyumba yake ya sasa. Kwani inaonekana hata yeye mwenyewe kimsingi hana matatizo na hilo isipokuwa anaogopa maneno ya watu.
   
 15. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Huyo mdada anahitaji kuwa makini sana na huyo mkongo, kwa jinsi ninavyowajua baadhi ya wakongo wanapenda sana kulelewa na hawana manhood! I wish angepata muda wa kumjua zaidi,most of the wakongo wanapenda mwanamke mwenye nacho na wao ni less kujishughulisha zaidi ya usmart wa kuvaa.
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Oct 22, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wenyewe wanasema PESA MBONGO NAKOLOBATE NAKATI YA KINSHASA NA MOTEMA PEMBE MWASIKITOKO NA BANGE NA SHERIII
   
 17. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #17
  Oct 22, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  Rose bwana, mie nikikosa vioja vyako humu cna amani....afadhali umenipatia amani ya kuianza weekend.
   
 18. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #18
  Oct 22, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  pbm ni NECHA YA WAKONGO????
  awa watu hawanaga mapenz ya kweli
  km ingekuwa mtz ningeelewa kdg lakin kwa stor zooote 100 nilizoskia za awaq wakongo ni kwamba WAMEKUJA KUCHUMA ..wake zao wapo uko katavi!!!!
  yan apana jaman kaka apo hakuna mtu ...haaaaaaaa na vinguo vyake kaja navyo????mhh apana hawana mapenz hawa wanacheki pakuendeleza maisha wapate pakulala na mengneyo bt lov mmhmmh mh mh nakataa!
  wachek kwanza wenyewew wanavyoish ..wanaish kwa makund makund utakuta geto moja wapo 10 awa wakiamka awa wanalala so akifanikiwa KUNUNULIWA na mdada wa kibongo anashukuru mungu faaaaaasta sana anahamia tena saa ingne bla hata hod....leo kaacha mkanda ,kesho shat na soks,keshokutwa boksa na suruali mtondogoro viatu bas aahh anafanya kubadirisha tu mwshowe beg looote limehamia kwako bdada...ahhhhhhhh hawa binadanu R NOT GUD FOR WOMAN CONSUMPTION.....!!!!!!!
   
 19. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #19
  Oct 22, 2010
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Dada/Kaka Enny mwambie huyo shostito wako kuwa hapo alipo yuko kubaya WAKONGO NO NO NO NO! jamaa anatafuta mtu wa kumlea tu hana lolote atakuja juta mwambie aplay her cards well otherwise atakuja lia kilio cha mbwa mwizi.
   
 20. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #20
  Oct 22, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  halafu kwanini wachumba wakae pa1? wangesubiri bac ndoa japo.
   
Loading...