luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,788
Unaogopesha. Tuseme upo kwenye mahusiano na mdada akikucheate, unaweza kumjua huko kilingeni? Hata akikudanganta tupo sehemu wakati hayupo unaenda kichawi unajua alipo?😂😂😂hawajui hizi shughuli zangu ...huwa sisimuliagi...na nikienda kilingeni naficha..
You must be kidding, unafurahisha genge.






