Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,253
Oyaa Kaka naona fataki limejibu Morogoro huko, macho kumchuzi hali Tete.Ooh ok ok sawa
Salute mzee!
Oyaa Kaka naona fataki limejibu Morogoro huko, macho kumchuzi hali Tete.Ooh ok ok sawa
😂😂😂Ila majibu yako!yananyong'onyezaMganga ni nani? Mchawi ni nani? Mimi kusema kweli ni mshirikina maana nafanya vyote viwili
Bro Mshana Jr mimi binafsi huwa na kuelewa sana nikiwa jamii forum bila kuona post yako naona hapaja noga, kizuri zaidi napenda jinsi huwa una tueleza ukweli wa mambo salute ubarikiwe but am looking forward kukutana na wewe siku moja atleast nipige story mbili tatu huwa napenda kuelewa na kujuwa hizi elimu una tupa kila siku










Salama kabisa kaka Mungu anazidi kutupa siha njema na kutuepeshia na mabaya... Huo upendo wa sasa ni natural ukitaka kuharibu ufanyie featuring....urajuta kwakuwa unaweza kupoteza kila kituMshana habari za siku tele.. Kuna mwanamke ananipenda Sana Ni mchepuko na ananisaidia Sana kimaisha. Ila nataka nikomleze Tena anipende mazima mazima , najua halikushindi hili
Swali tunalifanikishaje?.
Mshana Asante.Salama kabisa kaka Mungu anazidi kutupa siha njema na kutuepeshia na mabaya... Huo upendo wa sasa ni natural ukitaka kuharibu ufanyie featuring....urajuta kwakuwa unaweza kupoteza kila kitu
ila mwanangu sina uhakika nae sana usije ukanizalia mtoto ana Chale mpk utosini,staki kbsa.Ewe Binti siku nakutongoza halafu unaniambia Mshua wako/Dingi Ako/Baba ako ni Mshana
sure am telling you nakuacha nahairisha kila kitu,nitahesabia nimekukosa na sio fungu langu
sio kwamba wewe utakua na tabia za baba ako,sina shaka na hilo ila sitaki wala kuja kuona
mwanangu anarithi tabia za Babu yake mzaa mama,sitaki kabisaa.Najua wewe huna tatizo
ila mwanangu sina uhakika nae sana usije ukanizalia mtoto ana Chale mpk utosini,staki kbsa.








Ok LENGO LANGU niandike 4/11/2020 Sasa pale kwenye mwezi nikaandika 5 nikitikiria mfumo wa masaa 11 inaandikwa 5..tarehe hizo matokeo ya awali tutakuwa tushayajuaDuh.. Hebu hakiki hiyo tarehe tena...!!!
😂 Walima viazi wamekunyima?#MSHANA NATAFUTA NGOZI NGOZI YA FUKO NITAIPATA WAPI? ILI NITENGENEZEE KIPOCHI CHA CHUMA ULETE
Walima viazi wamekunyima?
NB;
Mbeya kwenye viazi fuko wa kutosha.