Kwahili mungu anisamehe tu, nakuunga mkonoB4 2025
Huku si bado 30% tu kazi imeishaIko Tanzania?
Tanzania inafungukaHilo sio jibu lake
Mshana nawe ni mfuasi wa #msalaba_safi kumbeKwakuwa Mungu wetu ni mmoja na katika yeye kila goti litapigwa kwakuwa msalaba ndio asili ya mema yote na hapo ndio tunatua mizigo yetu yote ikiwemo ushirikina ndumba na ulozi
M nakusihi sanaa jpo najua we ni mkubwa zaidi yangu umewahi kuliona jua kabla yangu ila m nakusihi Ushirikina hauna Rafiki,Shetani hana Rafiki wa kudumu
Nini maana ya ushirikinaM nakusihi sanaa jpo najua we ni mkubwa zaidi yangu umewahi kuliona jua kabla yangu ila m nakusihi Ushirikina hauna Rafiki,Shetani hana Rafiki wa kudumu
Mimi ni Muislamu na katika Uislamu dhambi kubwa ni Ushirikina Na atakaekufa na dhambi hii ni Motoni milele na milele
Kumbuka kua huwezi kumfurahisha Mwanadamu hta ufanyeje na aliepewa kapewa .Waswahili wanasema mpewa hapokonyeki.
Asante sana kwa ushauri nitauzingatiaM nakusihi sanaa jpo najua we ni mkubwa zaidi yangu umewahi kuliona jua kabla yangu ila m nakusihi Ushirikina hauna Rafiki,Shetani hana Rafiki wa kudumu
Mimi ni Muislamu na katika Uislamu dhambi kubwa ni Ushirikina Na atakaekufa na dhambi hii ni Motoni milele na milele
Kumbuka kua huwezi kumfurahisha Mwanadamu hta ufanyeje na aliepewa kapewa .Waswahili wanasema mpewa hapokonyeki.

Msata ni njia ya kwenda Tanga.Msata nyuma ya makaburi karibu bila shaka
Nini maana ya ushirikina? hili ndo swali mkuu uliza tenaNini maana ya ushirikina
nilipowatafuta waarabu ndiyo wakaniambia kimeandikwa majina yangu sijui ya kunituliza kwa hiyo kilichotokea inawezekana alikosea mashart ngoma ikamrudia yeye.Mshana Jr nimesoma kila comment ya huu uzi ukweli ni kwamba hawa wanawake wanaturoga na kuna mahala kweli huyu mwanamke aliniroga amenifanya niwachukie wanawake na nikianzisha mahusiano ghafla yanayeyuka au nakosa appetite ya kuendelea naye..
Kuna kipindi aliendaga tanga akaja na kajamaa kamoja kagangaa home sikujua kamekuja kufanya nini mara nikaanza kuona kuna kapaka keusi kamefungwa kamba shingoni kakifika usiku kanatembea dirishani kwa nje sasa mimi nilikuwa nachukuwa maji nakamwagia usiku kumbe ile kukamwagia ni kama kuna kitu kilikuwa kinafanyika. Kuna siku ile nafungua boneti ya Gari nikakuta kwenye bonnet sikukatoa mimi mwanangu ndiyo alikakamata akatupa nje halafu ghafla baada ya kuvurugana ndiyo nikaja ona kikaratazi kimeandikwa kiarabu kimeninginzwa kwenye mlango ambacho sikuwa kukiona maisha nilipowatafuta waarabu ndiyo wakaniambia kimeandikwa majina yangu sijui ya kunituliza kwa hiyo kilichotokea inawezekana alikosea mashart ngoma ikamrudia yeye.
Sasa ebu fafanua kwa upana kwa niaba ya wengine hii nini Ndugu na Jinsi gani ya kutengua hii laana maake ni muda sasa ila nimetokea kumchukia vibaya mno huyu Mwanamke japo kumsahau siwezi.



Sijaelewa kakaUsipofanya kolabo na nguvu zingine na mambo mengine utaishia kibanda cha nyasi na macho mekundu bwiiii