Mshana Witch project

Mshana Witch project

Nina mchango mkubwa sana kwenye kufisha na kufifisha nyota ya chama pendwa
Nimeroga sana hapo kabla lakini mwaka huu nimeroga mpaka jasho langu likawa linanuka uchawi
Nilijenga vilinge majini
Nikajenga vilinge ardhini
Nikajenga na angali
Nimepandikiza gundu kwenye rangi za chama
Wagombea nikawatupia gundu la kinyesi..mkubwa kabisa nikampiga jini kisirani
Nimeroga wala sijisifu ..nimeroga mpaka uchawi ukanikifu

Malighafi zangu maarufu zilikuwa ni
Maji ya gundu
Maji ya janaba bichi
Damu Chafu
Majani ya mkafiri
Nyota ya nuksi
Kinyesi cha popo/ngozi ya kinyonga
Mizizi ya mti chonganishi

Nikavaa koti la ugaguzi..walipokuja nikawapiga gundu wajumbe wakawaona kama maliwato ya jiji
Nikavaa koti la ulokole walipokuja kwa maombi nikawapiga muhuri wa upofu na kuzima nyota zao...walipojitokeza upenuni wajinadi wakakimbiwa na kuzomewa...

Nimejenga madhabahu za giza nyuani mwao
Nikajenga zingine kondeni
Na zingine kwenye mapito yao..hakuna nilipobakisha...na kila waliporudi kwangu kulalamika nikawaambia wamekosea masharti

Project inaendelea..huu ni mrejesho sehemu ya kwanza...mkiona wanakimbiwa..tambueni kuna miba za nungunungu zimetegwa kila pahala...
Mshana Jr kwenye viwango vyake
 
Mshana Jr kwenye viwango vyake
JamiiForums-1502068837.jpg
 
Mshana hivi watu Kama dangote wanawezaje ku kuntol utajiri wao upande wa kiroho (secure) na ukizingatia , Nigeria ndo mabingwa wa spana🤣🤣🤣 na fitina zote
 
Mshana hivi watu Kama dangote wanawezaje ku kuntol utajiri wao upande wa kiroho (secure) na ukizingatia , Nigeria ndo mabingwa wa spana na fitina zote
Wana mikataba na maagano ya siri...hawaishi kiboya hata siku moja
 
Nina mchango mkubwa sana kwenye kufisha na kufifisha nyota ya chama pendwa
Nimeroga sana hapo kabla lakini mwaka huu nimeroga mpaka jasho langu likawa linanuka uchawi
Nilijenga vilinge majini
Nikajenga vilinge ardhini
Nikajenga na angali
Nimepandikiza gundu kwenye rangi za chama
Wagombea nikawatupia gundu la kinyesi..mkubwa kabisa nikampiga jini kisirani
Nimeroga wala sijisifu ..nimeroga mpaka uchawi ukanikifu

Malighafi zangu maarufu zilikuwa ni
Maji ya gundu
Maji ya janaba bichi
Damu Chafu
Majani ya mkafiri
Nyota ya nuksi
Kinyesi cha popo/ngozi ya kinyonga
Mizizi ya mti chonganishi

Nikavaa koti la ugaguzi..walipokuja nikawapiga gundu wajumbe wakawaona kama maliwato ya jiji
Nikavaa koti la ulokole walipokuja kwa maombi nikawapiga muhuri wa upofu na kuzima nyota zao...walipojitokeza upenuni wajinadi wakakimbiwa na kuzomewa...

Nimejenga madhabahu za giza nyuani mwao
Nikajenga zingine kondeni
Na zingine kwenye mapito yao..hakuna nilipobakisha...na kila waliporudi kwangu kulalamika nikawaambia wamekosea masharti

Project inaendelea..huu ni mrejesho sehemu ya kwanza...mkiona wanakimbiwa..tambueni kuna miba za nungunungu zimetegwa kila pahala...
Mkuu si ulisema umeacha ulozi ?
 
Back
Top Bottom