kama zinasaidia kwa nini ninyi haziwasaidii kumiliki maghorofa mjini?Usipofanya kolabo na nguvu zingine na mambo mengine utaishia kibanda cha nyasi na macho mekundu bwiiii
Ndo maana kwa mbaali nimeanza kumchukia chukia mzee baba,kumbe ulinishtua kidogo!!Usinielewe vibaya ila kiukweli nimeroga sana hata wewe kuna kipindi nilikutest![]()

.Bro niache nimalizie uchaguzi huu kwanza.nitafutie manyoya ya ndege ngekewa ya kichogoni
.
Sasa ni sababu gani huwakubali mkuu? Na huwa wanakuzidi wapi kiasi kwamba nguvu yako imeshindwa kuwaondosha madarakani kwenye chaguzi kadhaa zilizopita?Hapana siwezi kubadilika abadan
Kwenye medani za vita kuna mengi na sometimes baadhi ya mbinu haziwekwi wazi...kikubwa ni timing...Sasa ni sababu gani huwakubali mkuu? Na huwa wanakuzidi wapi kiasi kwamba nguvu yako imeshindwa kuwaondosha madarakani kwenye chaguzi kadhaa zilizopita?
Nasikia ukiingia kwenye rada ya mshirikina mwenye nguvu zaidi yako anaweza kukutoa uhai... Na inasemwa kwamba wanga hawana mamlaka ya kuutoa uhai wa mtu isipokuwa ni Allah pekee, sasa ikitokea hawa unaowapiga virogo siku wakunase si watakuchuwa msukule ukawafulie nguo?Mganga ni nani? Mchawi ni nani? Mimi kusema kweli ni mshirikina maana nafanya vyote viwili
Duh ndo maana koo za wapare nyingi watu wamekatazwa kwenda kuoa kwenye ukoo wa Washana

Kwahiyo mkuu ukasadiki kwamba walikuzidi maarifa na uzoefuKwenye medani za vita kuna mengi na sometimes baadhi ya mbinu haziwekwi wazi...kikubwa ni timing...
Kila kitu kina level na ranks zake ....usiende kupigana na Tyson kama wewe hujafikia hivyo viwango...Nasikia ukiingia kwenye rada ya mshirikina mwenye nguvu zaidi yako anaweza kukutoa uhai... Na inasemwa kwamba wanga hawana mamlaka ya kuutoa uhai wa mtu isipokuwa ni Allah pekee, sasa ikitokea hawa unaowapiga virogo siku wakunase si watakuchuwa msukule ukawafulie nguo?
Mkuu vp ulihusika kuchoma kile kijiji?Wale wachawi 400!? Jiulize wako wapi? Ukipata jibu rudi hapa nikupe siri sasa
Naamini na wewe upo kwenye hizo top ranks za ulozi ndiyo maana umeamua uvoluntie kupambana na hiyo miamba ya taifa..Kila kitu kina level na ranks zake ....usiende kupigana na Tyson kama wewe hujafikia hivyo viwango...
Jeshini kuna ranks
Kwenye ndege kuna levels za anga
Kwenye mamlaka kuna seniority
Kwenye uchawi pia kuna ranks

Uchawi: Kaliba yenye kuheshimiana mnoNaamini na wewe upo kwenye hizo top ranks za ulozi ndiyo maana umeamua uvoluntie kupambana na hiyo miamba ya taifa..![]()