Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 37,221
- 85,361
Kuna watu ilikua inawatapisha pizza...Bring back our avatar
Jr
Kuna watu ilikua inawatapisha pizza...Bring back our avatar
Jr
Hiyo inaitwa kupatika kwa Mshanajr , amekosa majibu kwa waliyoyafanya wanawe..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi jua.ni elimu pia
Jr
hili ni balaa lingine mjini
aisee 😂 😂 😂 😂 😂Hawa ndio wale watoto wakambo wa mtalaka wake demis.
mafanikio ya mzazi ni watoto kurithi fani yako bwana