Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

Nilivyoelewa shida inakuja km ukishindwa kuelewa kitu Na ukashindwa kuuliza kwa wengine ili ufafanuliwe mtoa Uzi huenda anapata taabu anaposoma threads zako mfano ktk ile ya sigil pale juu uliposema uchawi wa sigil sasa watu km hawa Mpk waelewe ni ngm kujua kwa uraisi kwng mm sigil si km uchaw wa manyau nyau,vinyamkera
 
Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...

Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....

1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu

Hayo ni maoni yangu..
Hah! Sasaaa; ww ni agent wa nani? AntMshanaJr au inakuwaje. Jamaa fulani alisema "Akili za kuambiwa ongeza na zako"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom