Benjamin10
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 389
- 554
- Thread starter
- #41
Hapana sio mimi huyo ndugu.. ni mdogo wangumbona kwa pic kama niyeye kwel analidhalilisha shirika na maharage aliyewaongezea mshahara
Hapana sio mimi huyo ndugu.. ni mdogo wangumbona kwa pic kama niyeye kwel analidhalilisha shirika na maharage aliyewaongezea mshahara
Kwa muda gani ulifanya kazi?Huu mshahara nlilipwa 15yrs ago wakati naanza kazi
Ni sahihi hao mara nyingi huwa ni weziHaondoki kwasababu hiyo kilo 1 anaiba kwa wiki mara 3.
Mpaka mwisho wa mwezi ana bei gani?
Hana majukumu huyoView attachment 2404491hii 👆👆ni avatar yako.. kweli kwa uko unapoishi 350,000 ni nyingi sana,uko mnaishi na ndege tu
Yaani hao ndo wezi wakubwa.. sana mzee wanaibia wateja na tajiri pia wanamuibia nawafahamu.. hao.jamaa yangu anafanya kazi sheli shahara 180k + pesa ya chakula na nauli 100k nachoshangaa kajenga na ana gari japo haendagi nalo kazini
Hata mimi namfukuza kama ningekua bosi wakeSiku akienda na gari ndio siku atakayo fukuzwa kazi
Yaaah kumbe huu mchezo ni maarufu hivi.. hata nyinyi mnaujua..Kuna kampuni wanalipa kamisheni kwa kila lita moja. Bado pia huwa wanakula na madereva wa makampuni au taasisi wanaojaziwa mafuta, pia kuna ishu ya kuuza risiti. MJINI MIPANGO
Akikuwa ataacha ujinga na kisalary chakeuko sawa kwel mkuu
Ndio ilivyo wanaokuajiri wanashawishi uibe.Ni sahihi hao mara nyingi huwa ni wezi
Just imagine 15 years ago kilo ya unga ilikuwa bei gani? Maji yalikuwa sh.ngapi kwa unit, umeme bei gani kwa unit? Nauli ya daladala ilikuwa bei gani? Litre ys mafuta bei gani?Huu mshahara nlilipwa 15yrs ago wakati naanza kazi
Godoro la 3*6Habari wakuu naomba kuwasilisha hoja kua mshahara wa kiasi cha tsh.350,000 ni mkubwa mno kwa kijana anayeanza kazi na hajaoa.. tunaomba serikali itupunguzie mshahara..
Nnaimani uliifurahia sana kazi... aiseeNdio ilivyo wanaokuajiri wanashawishi uibe.
Mshahara wangu wa kwanza take home ilikua full package
13:500 basic 3500 fikiria.
13500 ushalipwa kila kitu mpk kodi ya nyumba,nauli na pensheni fikiria.
Sikusaini mkataba aisee naondoka kulikua na jamaa pale akaniita kuuliza imekuwaje nikamwambia 13500 sichukui mimi narudi home.
Jamaa akaniambia rudi kasaini mkuu hiyo ndio tunalipwa wote humu unatuonaje?
Na kweli jamaa wamependeza.
Nikasaini
Kuja kugundua staff wote wana mtandao wao pale basi hio 13500 nilikua naondoka nayo karibia kila siku,weekend ndo kabisaa
Yaani hapo imeisha hiyoGodoro la 3*6
Boksi la kondom
Dust bin & mopa
Jiko dogo la gesi
Sufuria 2
Vikombe viwili vya chai
Hivyo ni vya msingi
Duh! Anunue maji, alipie pango, Anunue luku, anunue chakula, anunue vocha, halafu bado akajichanganye kulee - cjui inakuwaje. 😂 😂 😂 🏃♂️ na lazima makato ya lazima yawepo e.g. PSSSF,NSSF, Afya NHIF, etc na amwombe sana Mungu asiugue/asiuguze ndg n.k.. Pembeni pale naona kadi ya mchango Tzs.40,000 single , 60,000 double.Bila shaka unafanya kazi Mohamed Enterprises maana huko ndiko ambako mshahara huo ni wa kiwango cha juu sana
Kwakweli ilikua safi kabisa ila mawazo sasa ukidakwa kibarua kinaishaNnaimani uliifurahia sana kazi... aisee
Kwakweli ilikua safi kabisa ila mawazo sasa ukidakwa kibarua kinamoti
Motivation speaker wanakwambia hiyo ni risktakerKwakweli ilikua safi kabisa ila mawazo sasa ukidakwa kibarua kinaisha
MgamboWewe. Ni Askari police au WanYama pori?
Wewe. Ni Askari police au WanYama pori?
Mnaongeaga ivi huwa nimakapuku haswaJamaa anazingua tu ,350k sio mashahara bali ni posho tu tena labda ya airtime kwenye payslip za watu.