Mshahara wa Tsh. 350,000/- ni mkubwa mno kwa mtumishi anayeanza kazi, halafu bachela

Ni sahihi hao mara nyingi huwa ni wezi
Ndio ilivyo wanaokuajiri wanashawishi uibe.
Mshahara wangu wa kwanza take home ilikua full package
13:500 basic 3500 fikiria.
13500 ushalipwa kila kitu mpk kodi ya nyumba,nauli na pensheni fikiria.
Sikusaini mkataba aisee naondoka kulikua na jamaa pale akaniita kuuliza imekuwaje nikamwambia 13500 sichukui mimi narudi home.
Jamaa akaniambia rudi kasaini mkuu hiyo ndio tunalipwa wote humu unatuonaje?
Na kweli jamaa wamependeza.
Nikasaini
Kuja kugundua staff wote wana mtandao wao pale basi hio 13500 nilikua naondoka nayo karibia kila siku,weekend ndo kabisaa
 
Nnaimani uliifurahia sana kazi... aisee
 
Bila shaka unafanya kazi Mohamed Enterprises maana huko ndiko ambako mshahara huo ni wa kiwango cha juu sana
Duh! Anunue maji, alipie pango, Anunue luku, anunue chakula, anunue vocha, halafu bado akajichanganye kulee - cjui inakuwaje. 😂 😂 😂 🏃‍♂️ na lazima makato ya lazima yawepo e.g. PSSSF,NSSF, Afya NHIF, etc na amwombe sana Mungu asiugue/asiuguze ndg n.k.. Pembeni pale naona kadi ya mchango Tzs.40,000 single , 60,000 double.
 
Back
Top Bottom