Mshahara wa Mwezi wa 7 kimya

Ukiona Uzi Kama huu unatembea kwa kasi jua hamna kitu kilichofanyika ila ukiona Uzi unaenda taratibu yan very slow jua tayari watu wapo folen nmb
 
Nadhani CRDB bado kidogo, maana NMB wameachia kwenye 1215 hours leo.
naona Mshahara utakuwa unaingia kwa makundi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Mi umeingia mapema sana asubuhi Saa tatu kasoro. NMB.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…