Mkuu ur noted.Nimekusoma vyema ndugu baada ya kudadavua vyema,na kuna kitu nimekipata vyema tu.Bravo!Regardless, sitegemei sana unielewe; ila jibu tu huo unaouona ni utumbo kwa faida ya wengi. Unajua ifike mahala tubadilishe muelekeo wetu wa kifikra, maana hai-make sense kwamba mchina mfungwa analetwa Tanzania kuja kusimamia watu wenye degree zao kabisa, this is ridiculous!
Watu wengi wanafikiri kufanya kazi ni kutumia nguvu mfano wa kubeba zege, au labda kufanya kazi ni kutumia akili mfano mwalimu, la hasha, hapo hufanyi kazi ndugu yangu; ni unafanyishwa kazi! Aliefanya kazi ni yule aliyewaza kuanzisha hiyo shule, akawaza ainzishe wapi, afundishe nini na kwa namna gani, amuajiri nani na atamlipa nini ili kupata results nzuri zitakazovutia wazazi kuleta watoto kwa wingi na kulipa premium kwa elimu ya mtoto, hiyo ndio kazi, na ni kazi hasa ndugu! Mfano ni mtu anaefanya udereva wa Uber, nae kichwani kwake anaamini kabisa eti anafanya kazi, comrade, huyo anafanyishwa kazi! Kazi imeshafanywa, yeye amekuja tu kukinga kwa kazi iliyofanywa na mtu mwingine, yaani mtu akae aumize kichwa na kuunda mfumo, kuutangaza na kufanya michakato lukuki hadi kuufanya mfumo ukawa ready for use, halafu wewe unaenda tu na kivitz chako kukisajili na hapo hapo unaanza kupata wateja online kiulaini kabisa, aisee.., kuna mtu keshafanya kazi, wewe ni unakinga tu! Sasa nisome kwa lengo la kunielewa, try to get to the heart of my arguement, usisome kwa munkari wala kwa kuhisi ninawakejeli watumishi/ waajiriwa, bali nina nia njema sana.
Kwanza tukubali, wafanyakazi hapa duniani ni wachache, bali wafanyishwaji kazi ni wengi, na wengi bado tuna nafasi ya kubadilika, mtu kaanzisha tigo pesa eti na yeye anasema kajiajiri, huyo ni mfanyakazi tu wa Tigo kama wafanyakazi wengine na analipwa mshahara, hajajiajiri...! Na wala hafanyi kazi bali anafanyishwa kazi..! Yaan mtu akae chini, aumize kichwa hadi akaja na mfumo mzima wa Tigo pesa, halafu wewe unaamka asubuhi unaenda kwenye kibanda cha Mpesa na wateja wanakuja tu kuweka na kutoa pesa kiulaini kabisa, huumizi kabisa kichwa, my friend, kuna mtu kashafanya kazi, wewe unakula tu jasho lake!lingekuwa jasho lako msingejazana uwanja wa taifa kuomba nafasi ya kugawa jasho lenu uhamiaji..! Jasho linagombaniwa (mfano mpesa/ uber),hili ndio jasho, na lazima ligombaniwe, Habari ndio hiyo, sasa kama natumia lugha ya kuudhi, basi nafanya hivyo ili niwashtue.
Hapa JF kuna watu wanajiita moderators, i hope nao hawajaingia kwenye huu mtego wa kudai mshahara mwisho wa mwezi eti kwamba ni jasho lao, no way, hilo sio jasho lao, hao ni ombaomba wa jasho la mtu mwingine, aliyekaa chini na kuumiza kichwa kwamba aanzishe forum ipi kwa namna gani na kuitangaza vipi na kuifanya ikubalike, hao mods wamekuja kukinga jasho la huyo aliebuni huu mfumo wa JF, anaitwa Maxence melo sijui, huyo ndio kavuja jasho, na mnapoenda kukinga mikono mwisho wa mwezi muende kama ombaomba, na sio kama mnaenda kudai jasho lenu, hamfanyi kazi bali mnafanyishwa kazi!
Wachache tumekuelewa vilaza watakuja na povu la omo muda si mrefuRegardless, sitegemei sana unielewe; ila jibu tu huo unaouona ni utumbo kwa faida ya wengi. Unajua ifike mahala tubadilishe muelekeo wetu wa kifikra, maana hai-make sense kwamba mchina mfungwa analetwa Tanzania kuja kusimamia watu wenye degree zao kabisa, this is ridiculous!
Watu wengi wanafikiri kufanya kazi ni kutumia nguvu mfano wa kubeba zege, au labda kufanya kazi ni kutumia akili mfano mwalimu, la hasha, hapo hufanyi kazi ndugu yangu; ni unafanyishwa kazi! Aliefanya kazi ni yule aliyewaza kuanzisha hiyo shule, akawaza ainzishe wapi, afundishe nini na kwa namna gani, amuajiri nani na atamlipa nini ili kupata results nzuri zitakazovutia wazazi kuleta watoto kwa wingi na kulipa premium kwa elimu ya mtoto, hiyo ndio kazi, na ni kazi hasa ndugu! Mfano ni mtu anaefanya udereva wa Uber, nae kichwani kwake anaamini kabisa eti anafanya kazi, comrade, huyo anafanyishwa kazi! Kazi imeshafanywa, yeye amekuja tu kukinga kwa kazi iliyofanywa na mtu mwingine, yaani mtu akae aumize kichwa na kuunda mfumo, kuutangaza na kufanya michakato lukuki hadi kuufanya mfumo ukawa ready for use, halafu wewe unaenda tu na kivitz chako kukisajili na hapo hapo unaanza kupata wateja online kiulaini kabisa, aisee.., kuna mtu keshafanya kazi, wewe ni unakinga tu! Sasa nisome kwa lengo la kunielewa, try to get to the heart of my arguement, usisome kwa munkari wala kwa kuhisi ninawakejeli watumishi/ waajiriwa, bali nina nia njema sana.
Kwanza tukubali, wafanyakazi hapa duniani ni wachache, bali wafanyishwaji kazi ni wengi, na wengi bado tuna nafasi ya kubadilika, mtu kaanzisha tigo pesa eti na yeye anasema kajiajiri, huyo ni mfanyakazi tu wa Tigo kama wafanyakazi wengine na analipwa mshahara, hajajiajiri...! Na wala hafanyi kazi bali anafanyishwa kazi..! Yaan mtu akae chini, aumize kichwa hadi akaja na mfumo mzima wa Tigo pesa, halafu wewe unaamka asubuhi unaenda kwenye kibanda cha Mpesa na wateja wanakuja tu kuweka na kutoa pesa kiulaini kabisa, huumizi kabisa kichwa, my friend, kuna mtu kashafanya kazi, wewe unakula tu jasho lake!lingekuwa jasho lako msingejazana uwanja wa taifa kuomba nafasi ya kugawa jasho lenu uhamiaji..! Jasho linagombaniwa (mfano mpesa/ uber),hili ndio jasho, na lazima ligombaniwe, Habari ndio hiyo, sasa kama natumia lugha ya kuudhi, basi nafanya hivyo ili niwashtue.
Hapa JF kuna watu wanajiita moderators, i hope nao hawajaingia kwenye huu mtego wa kudai mshahara mwisho wa mwezi eti kwamba ni jasho lao, no way, hilo sio jasho lao, hao ni ombaomba wa jasho la mtu mwingine, aliyekaa chini na kuumiza kichwa kwamba aanzishe forum ipi kwa namna gani na kuitangaza vipi na kuifanya ikubalike, hao mods wamekuja kukinga jasho la huyo aliebuni huu mfumo wa JF, anaitwa Maxence melo sijui, huyo ndio kavuja jasho, na mnapoenda kukinga mikono mwisho wa mwezi muende kama ombaomba, na sio kama mnaenda kudai jasho lenu, hamfanyi kazi bali mnafanyishwa kazi!
Alafu inawezekana ana 25,000 tuDahhhh......
Haya maisha ya kusubiri, huwa yanatia huzuni sana wallah
Shukrani mkuumof. go. tz >salary slip portal>check no>password
Jamani nmb, crdb na NBC Bado?
Mkuu technolojia nyingi zilizopo duniani ni application ya theories zilizowekwa miaka mingi sana huko nyuma, it is logical kwamba initiators au innovators ni wachache sana ukilinganisha na wale wanaofanya application ya theories au technolojia zilizovumbuliwa. Sioni logic ya kwamba anayeonekana kufanya kazi ni innovator lakini anaye apply technology hafanyi kazi, labda utupe maana hasa ya mtu kufanya kazi labda wengi wetu hatuna ufahamu na hiloRegardless, sitegemei sana unielewe; ila jibu tu huo unaouona ni utumbo kwa faida ya wengi. Unajua ifike mahala tubadilishe muelekeo wetu wa kifikra, maana hai-make sense kwamba mchina mfungwa analetwa Tanzania kuja kusimamia watu wenye degree zao kabisa, this is ridiculous!
Watu wengi wanafikiri kufanya kazi ni kutumia nguvu mfano wa kubeba zege, au labda kufanya kazi ni kutumia akili mfano mwalimu, la hasha, hapo hufanyi kazi ndugu yangu; ni unafanyishwa kazi! Aliefanya kazi ni yule aliyewaza kuanzisha hiyo shule, akawaza ainzishe wapi, afundishe nini na kwa namna gani, amuajiri nani na atamlipa nini ili kupata results nzuri zitakazovutia wazazi kuleta watoto kwa wingi na kulipa premium kwa elimu ya mtoto, hiyo ndio kazi, na ni kazi hasa ndugu! Mfano ni mtu anaefanya udereva wa Uber, nae kichwani kwake anaamini kabisa eti anafanya kazi, comrade, huyo anafanyishwa kazi! Kazi imeshafanywa, yeye amekuja tu kukinga kwa kazi iliyofanywa na mtu mwingine, yaani mtu akae aumize kichwa na kuunda mfumo, kuutangaza na kufanya michakato lukuki hadi kuufanya mfumo ukawa ready for use, halafu wewe unaenda tu na kivitz chako kukisajili na hapo hapo unaanza kupata wateja online kiulaini kabisa, aisee.., kuna mtu keshafanya kazi, wewe ni unakinga tu! Sasa nisome kwa lengo la kunielewa, try to get to the heart of my arguement, usisome kwa munkari wala kwa kuhisi ninawakejeli watumishi/ waajiriwa, bali nina nia njema sana.
Kwanza tukubali, wafanyakazi hapa duniani ni wachache, bali wafanyishwaji kazi ni wengi, na wengi bado tuna nafasi ya kubadilika, mtu kaanzisha tigo pesa eti na yeye anasema kajiajiri, huyo ni mfanyakazi tu wa Tigo kama wafanyakazi wengine na analipwa mshahara, hajajiajiri...! Na wala hafanyi kazi bali anafanyishwa kazi..! Yaan mtu akae chini, aumize kichwa hadi akaja na mfumo mzima wa Tigo pesa, halafu wewe unaamka asubuhi unaenda kwenye kibanda cha Mpesa na wateja wanakuja tu kuweka na kutoa pesa kiulaini kabisa, huumizi kabisa kichwa, my friend, kuna mtu kashafanya kazi, wewe unakula tu jasho lake!lingekuwa jasho lako msingejazana uwanja wa taifa kuomba nafasi ya kugawa jasho lenu uhamiaji..! Jasho linagombaniwa (mfano mpesa/ uber),hili ndio jasho, na lazima ligombaniwe, Habari ndio hiyo, sasa kama natumia lugha ya kuudhi, basi nafanya hivyo ili niwashtue.
Hapa JF kuna watu wanajiita moderators, i hope nao hawajaingia kwenye huu mtego wa kudai mshahara mwisho wa mwezi eti kwamba ni jasho lao, no way, hilo sio jasho lao, hao ni ombaomba wa jasho la mtu mwingine, aliyekaa chini na kuumiza kichwa kwamba aanzishe forum ipi kwa namna gani na kuitangaza vipi na kuifanya ikubalike, hao mods wamekuja kukinga jasho la huyo aliebuni huu mfumo wa JF, anaitwa Maxence melo sijui, huyo ndio kavuja jasho, na mnapoenda kukinga mikono mwisho wa mwezi muende kama ombaomba, na sio kama mnaenda kudai jasho lenu, hamfanyi kazi bali mnafanyishwa kazi!
hahahah, hadi umefukua uzi wa mwaka jana!Jamani nmb, crdb na NBC Bado?
Waliojipanga vyema Kimaisha kamwe huwa hawaulizii sana Mshahara tena wengi wao kuna muda hata huwa wanasahau kama kuna Mshahara wameingiziwa. Nakushauri hata kama una Kipato kidogo jiwekee utaratibu wa kuweka Pesa ( Savings ) kisha jitahidi hata ' Kuwekeza ' tu katika mradi wowote ili uwe unaingiza Kipato na uache kila mara kuja ' Kutusumbua ' hapa Watu tunaowaza mambo makubwa na vitu vikubwa kwa faida ya nchi yetu na taifa letu la Tanzania. Na kwa uzoefu wangu mdogo sana 95% ya Watu ambao Mshahara wao huwa haufiki mbali au huwa wanapenda Kuulizia sana huwa ni Wahuni / Wapenda Anasa na Wafujaji wazuri wa Pesa halafu siyo ' Planners ' wazuri hata Maishani bila kusahau kuwa pia huwa wana ' Ugoigoi ' mwingi.