Afande Fojuman
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 657
- 548
Ushaingia kitambo mkuu,
Unakaribia kuisha
Unakaribia kuisha
Baada ya kufulia, huwa namwaga povu...tehteehhKwa hiyo Ushmen bada ya kufulia unishije
JF cha msingi fanya unachoona ni sawa..watu wanajikweza sanaKuna watu ni washamba sana na wapuuzi kiwango cha hali ya juu, wanajifanya wanapesa, wanajitia ujuaji, wanajitia wamewekeza sana,mara nyingi huwa nashangaa MTU anapoulizia suala la mshahara watu huleta hoja za kishenzi eti....oh..mara kuuliza mshahara ni umaskin,,,.mara ni kutowekeza....mara sisi tunawaza mambo makubwa ya nchi...upuuzi mtupu....hivi MTU amejiriwa na anafanya kazi ya kulipwa mshahara kwanini asiulizie mshahara wake kama ameona kufanya hivyo? Kuuliza haijalishi anakipato cha ziada au hana mshara kama amesha ufanyia kazi ni haki yake kuuliza mshahara wake kama imemlazimu kufanya hivyo acheni kujitia viherere ili tuwaone mnapesa.....hapa JF hatukujui kujitia we tajiri huna haja ya kuuliza mshahara ni kujilisha upepo tuu....hakuna anayejua maisha ya mwingie...
JF usiumize kichwa mkuu ukute aliekwambua Hivyo ni mwanao anasubiri upate huo mshahara umpe Ada ya shuleeKuna watu ni washamba sana na wapuuzi kiwango cha hali ya juu, wanajifanya wanapesa, wanajitia ujuaji, wanajitia wamewekeza sana,mara nyingi huwa nashangaa MTU anapoulizia suala la mshahara watu huleta hoja za kishenzi eti....oh..mara kuuliza mshahara ni umaskin,,,.mara ni kutowekeza....mara sisi tunawaza mambo makubwa ya nchi...upuuzi mtupu....hivi MTU amejiriwa na anafanya kazi ya kulipwa mshahara kwanini asiulizie mshahara wake kama ameona kufanya hivyo? Kuuliza haijalishi anakipato cha ziada au hana mshara kama amesha ufanyia kazi ni haki yake kuuliza mshahara wake kama imemlazimu kufanya hivyo acheni kujitia viherere ili tuwaone mnapesa.....hapa JF hatukujui kujitia we tajiri huna haja ya kuuliza mshahara ni kujilisha upepo tuu....hakuna anayejua maisha ya mwingie...
Mkuu humu watu wengi humu jf ni wafanyabiashara na wamewekewa micro chip mwilini kama MO wasije wakatekwa,hahahKuna watu ni washamba sana na wapuuzi kiwango cha hali ya juu, wanajifanya wanapesa, wanajitia ujuaji, wanajitia wamewekeza sana,mara nyingi huwa nashangaa MTU anapoulizia suala la mshahara watu huleta hoja za kishenzi eti....oh..mara kuuliza mshahara ni umaskin,,,.mara ni kutowekeza....mara sisi tunawaza mambo makubwa ya nchi...upuuzi mtupu....hivi MTU amejiriwa na anafanya kazi ya kulipwa mshahara kwanini asiulizie mshahara wake kama ameona kufanya hivyo? Kuuliza haijalishi anakipato cha ziada au hana mshara kama amesha ufanyia kazi ni haki yake kuuliza mshahara wake kama imemlazimu kufanya hivyo acheni kujitia viherere ili tuwaone mnapesa.....hapa JF hatukujui kujitia we tajiri huna haja ya kuuliza mshahara ni kujilisha upepo tuu....hakuna anayejua maisha ya mwingie...
jana nimecheki mida ya saa 1 jioni ilikua bado.Huku kwetu mwanza tayari
Kwani wao kwenye "miradi yao" wanapotegemea kulipwa huwa hawaulizi kama hela imeshaingizwa kwenye akaunti zao/sijui nini PESA?Kuna watu ni washamba sana na wapuuzi kiwango cha hali ya juu, wanajifanya wanapesa, wanajitia ujuaji, wanajitia wamewekeza sana,mara nyingi huwa nashangaa MTU anapoulizia suala la mshahara watu huleta hoja za kishenzi eti....oh..mara kuuliza mshahara ni umaskin,,,.mara ni kutowekeza....mara sisi tunawaza mambo makubwa ya nchi...upuuzi mtupu....hivi MTU amejiriwa na anafanya kazi ya kulipwa mshahara kwanini asiulizie mshahara wake kama ameona kufanya hivyo? Kuuliza haijalishi anakipato cha ziada au hana mshara kama amesha ufanyia kazi ni haki yake kuuliza mshahara wake kama imemlazimu kufanya hivyo acheni kujitia viherere ili tuwaone mnapesa.....hapa JF hatukujui kujitia we tajiri huna haja ya kuuliza mshahara ni kujilisha upepo tuu....hakuna anayejua maisha ya mwingie...
TayariMwenye taarifa pleaz naomba anijuze, coz mpaka mda huu cjapata notification yeyote ya muamala kutoka NMB.
Hyo post nilituma mwezi wa 10 mkuu,mwezi wa 11 tayari?Tayari
Kuna watu walikosa fursa ya kuajiriwa wamejawa wivu mwingi,Ile ni pesa yangu halali nimeuza huduma ni haki kuulizia,Hao wanaojisifia kujiajiri kila siku wanalia na mikopo isiyolipika nipo nafanya nao biashara eti wanatamani wangeajiriwa wachukue mkopo wa kiutumishi wafanyie biashara maana nyumba zao zimechorwa zitapigwa mnada!Kuna watu ni washamba sana na wapuuzi kiwango cha hali ya juu, wanajifanya wanapesa, wanajitia ujuaji, wanajitia wamewekeza sana,mara nyingi huwa nashangaa MTU anapoulizia suala la mshahara watu huleta hoja za kishenzi eti....oh..mara kuuliza mshahara ni umaskin,,,.mara ni kutowekeza....mara sisi tunawaza mambo makubwa ya nchi...upuuzi mtupu....hivi MTU amejiriwa na anafanya kazi ya kulipwa mshahara kwanini asiulizie mshahara wake kama ameona kufanya hivyo? Kuuliza haijalishi anakipato cha ziada au hana mshara kama amesha ufanyia kazi ni haki yake kuuliza mshahara wake kama imemlazimu kufanya hivyo acheni kujitia viherere ili tuwaone mnapesa.....hapa JF hatukujui kujitia we tajiri huna haja ya kuuliza mshahara ni kujilisha upepo tuu....hakuna anayejua maisha ya mwingie...
Wivu umewajaa mtaani kumewanyoosha,kuna mwenzao mmoja akinikashifu sana mwakajuz anaagiza mbolea na kuuza mbolea alikuwa na mtaji si chini ya 40 mil.Bank wamemtembelea wamesomba kila kitu nimemuajiri kwenye banda langu la m pesa,Alikuwa anawafharau sana watumishi wa umma kuwa ni masikini!Kwani wao kwenye "miradi yao" wanapotegemea kulipwa huwa hawaulizi kama hela imeshaingizwa kwenye akaunti zao/sijui nini PESA?
Hawajui mshahara ni chanzo cha mapato kwa watu wengine kama ilivyo "miradi yao" kwao?
Ha ha ha!!! Mkuu inaonekana umeishiwa. Nadhani mchana leo utapata notification kutoka benki yako wakikutaarifu umeingia.Mwenye taarifa pleaz naomba anijuze, coz mpaka mda huu cjapata notification yeyote ya muamala kutoka NMB.
Waliojipanga vyema Kimaisha kamwe huwa hawaulizii sana Mshahara tena wengi wao kuna muda hata huwa wanasahau kama kuna Mshahara wameingiziwa. Nakushauri hata kama una Kipato kidogo jiwekee utaratibu wa kuweka Pesa ( Savings ) kisha jitahidi hata ' Kuwekeza ' tu katika mradi wowote ili uwe unaingiza Kipato na uache kila mara kuja ' Kutusumbua ' hapa Watu tunaowaza mambo makubwa na vitu vikubwa kwa faida ya nchi yetu na taifa letu la Tanzania. Na kwa uzoefu wangu mdogo sana 95% ya Watu ambao Mshahara wao huwa haufiki mbali au huwa wanapenda Kuulizia sana huwa ni Wahuni / Wapenda Anasa na Wafujaji wazuri wa Pesa halafu siyo ' Planners ' wazuri hata Maishani bila kusahau kuwa pia huwa wana ' Ugoigoi ' mwingi.
Ngoja niwatag mjuaneKuna watu ni washamba sana na wapuuzi kiwango cha hali ya juu, wanajifanya wanapesa, wanajitia ujuaji, wanajitia wamewekeza sana,mara nyingi huwa nashangaa MTU anapoulizia suala la mshahara watu huleta hoja za kishenzi eti....oh..mara kuuliza mshahara ni umaskin,,,.mara ni kutowekeza....mara sisi tunawaza mambo makubwa ya nchi...upuuzi mtupu....hivi MTU amejiriwa na anafanya kazi ya kulipwa mshahara kwanini asiulizie mshahara wake kama ameona kufanya hivyo? Kuuliza haijalishi anakipato cha ziada au hana mshara kama amesha ufanyia kazi ni haki yake kuuliza mshahara wake kama imemlazimu kufanya hivyo acheni kujitia viherere ili tuwaone mnapesa.....hapa JF hatukujui kujitia we tajiri huna haja ya kuuliza mshahara ni kujilisha upepo tuu....hakuna anayejua maisha ya mwingie...
Kumdharau mtu mwingine kua ni masikini kwa pesa za mkopo kisa yeye hajachukua mkopo ni ujinga uliotukuka kabisaWivu umewajaa mtaani kumewanyoosha,kuna mwenzao mmoja akinikashifu sana mwakajuz anaagiza mbolea na kuuza mbolea alikuwa na mtaji si chini ya 40 mil.Bank wamemtembelea wamesomba kila kitu nimemuajiri kwenye banda langu la m pesa,Alikuwa anawafharau sana watumishi wa umma kuwa ni masikini!
Jino kwa jinoWaliojipanga vyema Kimaisha kamwe huwa hawaulizii sana Mshahara tena wengi wao kuna muda hata huwa wanasahau kama kuna Mshahara wameingiziwa. Nakushauri hata kama una Kipato kidogo jiwekee utaratibu wa kuweka Pesa ( Savings ) kisha jitahidi hata ' Kuwekeza ' tu katika mradi wowote ili uwe unaingiza Kipato na uache kila mara kuja ' Kutusumbua ' hapa Watu tunaowaza mambo makubwa na vitu vikubwa kwa faida ya nchi yetu na taifa letu la Tanzania. Na kwa uzoefu wangu mdogo sana 95% ya Watu ambao Mshahara wao huwa haufiki mbali au huwa wanapenda Kuulizia sana huwa ni Wahuni / Wapenda Anasa na Wafujaji wazuri wa Pesa halafu siyo ' Planners ' wazuri hata Maishani bila kusahau kuwa pia huwa wana ' Ugoigoi ' mwingi.
jino kwa jinoKuna watu ni washamba sana na wapuuzi kiwango cha hali ya juu, wanajifanya wanapesa, wanajitia ujuaji, wanajitia wamewekeza sana,mara nyingi huwa nashangaa MTU anapoulizia suala la mshahara watu huleta hoja za kishenzi eti....oh..mara kuuliza mshahara ni umaskin,,,.mara ni kutowekeza....mara sisi tunawaza mambo makubwa ya nchi...upuuzi mtupu....hivi MTU amejiriwa na anafanya kazi ya kulipwa mshahara kwanini asiulizie mshahara wake kama ameona kufanya hivyo? Kuuliza haijalishi anakipato cha ziada au hana mshara kama amesha ufanyia kazi ni haki yake kuuliza mshahara wake kama imemlazimu kufanya hivyo acheni kujitia viherere ili tuwaone mnapesa.....hapa JF hatukujui kujitia we tajiri huna haja ya kuuliza mshahara ni kujilisha upepo tuu....hakuna anayejua maisha ya mwingie...