Mshahara wa mwezi huu (Oktoba 2018) ushaingia?

Mshahara wa mwezi huu (Oktoba 2018) ushaingia?

Mwenye taarifa pleaz naomba anijuze, coz mpaka mda huu cjapata notification yeyote ya muamala kutoka NMB.

Waliojipanga vyema Kimaisha kamwe huwa hawaulizii sana Mshahara tena wengi wao kuna muda hata huwa wanasahau kama kuna Mshahara wameingiziwa. Nakushauri hata kama una Kipato kidogo jiwekee utaratibu wa kuweka Pesa ( Savings ) kisha jitahidi hata ' Kuwekeza ' tu katika mradi wowote ili uwe unaingiza Kipato na uache kila mara kuja ' Kutusumbua ' hapa Watu tunaowaza mambo makubwa na vitu vikubwa kwa faida ya nchi yetu na taifa letu la Tanzania. Na kwa uzoefu wangu mdogo sana 95% ya Watu ambao Mshahara wao huwa haufiki mbali au huwa wanapenda Kuulizia sana huwa ni Wahuni / Wapenda Anasa na Wafujaji wazuri wa Pesa halafu siyo ' Planners ' wazuri hata Maishani bila kusahau kuwa pia huwa wana ' Ugoigoi ' mwingi.
 
Back
Top Bottom