Kweli maisha tight
ulishatokaWadau Habari za Muda huu.....Naomba mnijuze Wadau mishahara ya mwezi April imeshatoka au bado kwa yoyote mwenye Kujua anijuze......,,
Unamaanisha wale wamiliki wa ghorofa la mchezo wa kujirusha Dar?Watumishi hewa Corporation ( WHC)
"Acha ushamba. Unatuhusu nini?! Waswahili bwana!! Aya basi tumefamu nawewe upo kwenye pay roll.Wadau Habari za Muda huu.....Naomba mnijuze Wadau mishahara ya mwezi April imeshatoka au bado kwa yoyote mwenye Kujua anijuze......,,
Ukishajua ndo iwejeWadau Habari za Muda huu.....Naomba mnijuze Wadau mishahara ya mwezi April imeshatoka au bado kwa yoyote mwenye Kujua anijuze......,,
Wadau Habari za Muda huu.....Naomba mnijuze Wadau mishahara ya mwezi April imeshatoka au bado kwa yoyote mwenye Kujua anijuze......,,