Nilikuwa mwalimu hadi 2017 nilipobadili kazi. Mishahara ya halmashauri in midogo kwa kada zote kasoro afya. Hao wengine wanachomzidi mwalimu ni dili tu na wizi ila sio salary. Kua uyaone dogo.kuna rafki angu mwalimu anadai kua anabaki na laki 4 tu
Yes mwalimu wa degree anapokea laki NNE yaani 4k baada ya makato.
Mungu saidia walimu wetu wanahali ngumu.