Serikali ya awamu ya 5Hii ni kwa hapa Kwetu Tanzania au labda Marekani?
Serikali ya awamu ya 5Hii ni kwa hapa Kwetu Tanzania au labda Marekani?




Kuna watu wachonganishi humu yaani kila mada wanaivutia kule kwa lengo la kuonesha vinyongo
Serikali ya awamu ya 5
ndio,watu wa sheria na masomo ya sayansi,sasa hiyo Tgs E ni sawa na laki 8 na,sasa huo nao ni mshahara au mateso
viwango vya mishahara halmashauri vipo chini sana mkuuHoja sio kiwango cha mshahara, hoja hapa ni daraja la mshahara.
Watanzania tunapenda kufake sana maisha, eti ni mateso wakat hayo unayoita mateso ndo watu wanatamani kila siku walau wapate tu hiyo ajira.
viwango vya mishahara halmashauri vipo chini sana mkuu
ndio ni matesoSio tu halmashauri, serikali za mitaa nzima ni vile vile.
BTW, mimi sijakataa kuwa hakiko chini, nachoongelea hapa ni kile mtu anaita huo mshahara ambao wengine wanaulilia kuwa ni mateso.
E ni 900kndio,watu wa sheria na masomo ya sayansi,sasa hiyo Tgs E ni sawa na laki 8 na,sasa huo nao ni mshahara au mateso
Kawaida hiyo 2.7 kwenye mashirika na Mamlaka za Serikali kuu mwalimu hapo unaonekana kama Dereva😁😁E ni 900k
Ila unajua kuna watu serikalini nasikia wanaanza na Milioni2.7 sijui ni kweli
Aaaaaa wapi wasingeongoza kujiandikisha kwa mpemba, mangi na mgosiMilioni 2.7, posho ya nyumba 500,000/-, usafiri 300,000/-, umeme na maji 200,000/-
Jumla milioni 3.7
Yaani degree 2.7? Yaani huo mshahara hata assistant lecturer wa arts na biashara haanzi nao.Kawaida hiyo 2.7 kwenye mashirika na Mamlaka za Serikali kuu mwalimu hapo unaonekana kama Dereva😁😁
Hata nssf maafisa hawafiki huo mshahara,Milioni 2.7, posho ya nyumba 500,000/-, usafiri 300,000/-, umeme na maji 200,000/-
Jumla milioni 3.7
Nssf ni bei gani?Hata nssf maafisa hawafiki huo mshahara,
2 point ndiyo ujue vyuma vimekazaNssf ni bei gani?
Milioni2 kaa degree?2 point ndiyo ujue vyuma vimekaza
Wanakula ngapi huko? Ndiyo maana mkurugenzi mpya alietoka ppf anashanga mishahara.Milioni2 kaa degree?
Mara 3 ya degree ya arts ya halmashauri.
kwa mfano mamlaka gan znaanzia huo mshahara?Kawaida hiyo 2.7 kwenye mashirika na Mamlaka za Serikali kuu mwalimu hapo unaonekana kama Dereva![]()
Lumumbakwa mfano mamlaka gan znaanzia huo mshahara?
[SUB]😂😂😂😂😂😂[/SUB]Lumumba
Diploma=TGTS C = 535,000/=Habari wadau!
Naomba kufahamu mshahara wa Mwalimu wa Sekondari ni TGS gani?
1. Diploma
2. Degree
Ahsanteni!