Mshahara wa Mwalimu wa Sekondari

Kwa halmashauri mwalimu anazidiwa tu na wanasheria, afya, IT na engineers waliobaki wote wanasubirii kuanzia wahasibu, wachumi,utamaduni,HR na wengine


Vipi kuhusu watendaji wa kata na tarafa wenye shahada, hawamzidi mwalimu mwenye shahada?
 
viwango vya mishahara halmashauri vipo chini sana mkuu
Sio tu halmashauri ila serikali kuu na TAMISEMI yote ngazi za mshahara zinafanana tena mwalimu anawazidi wenzake kwa 6000.
Mke wangu ni mwalimu naona slip zake
 
Hakuna watu wana dharauliwa hapa bongo kama maticha

Suala ni kuwa kila mtu aheshimu profession ya mwenzie ..I'm a teacher and proud of it...Najua kuna wengine hawapendi kuwa maticha ni kama vile tu wengine hawapendi kuwa lawyers, manesi etc suala la profession n issue bnafsi ya mtu
 
na elimu pia inachangia koz wanajua mambo mengi ,,,walimu wengi elimu ipo ...degree na diploma za kumwaga...so wapo juu kulinganisha na kada nyingizingine
Wanajua mambo mengine yapi?
Taaluma za wajuaji ni law,political science, economics, engineering, it ,MD hao wengi wao ni machinoo
 
Walimu ni wale watu waliofeli form 4 au form 6.
Ukipata div 4 au 3 ya mwisho utaskia "nenda kajaribu ualimu"
 
Walimu ni wale watu waliofeli form 4 au form 6.
Ukipata div 4 au 3 ya mwisho utaskia "nenda kajaribu ualimu"
Upo Karne ya ngapi kaka!? Utaishi kwà kukariri Hadi lini!? Hivi ukiondoa Programmes za Afya zilizobaki zote Criteria zake zinatofautiana Nini na Education kwà level ya Degree zote ni CUT OFF POINTS ya 4 Yaan minimum D2, Huko Diploma na Certificate ndio mashart ya Education magumu kuliko programmes zingine wengine wakitaka D4 tu usome Diploma, Education wao wanataka mwisho Division Three!!!

NB; Sijasoma Education na sio Mwalimu!!!
 
Walimu ni wale watu waliofeli form 4 au form 6.
Ukipata div 4 au 3 ya mwisho utaskia "nenda kajaribu ualimu"
[/QUOTE]
Diploma ya afya
Four passes in non religious subjects
Diploma ya ualimu
CSEE and ACSEE with principle in one teaching subject and one S.
Hizo in sifa za kusoma diploma za afya na ualimu kwa mujibu was NACTE.
Nani kafeli hapo?
 
Back
Top Bottom