Mshahara wa Mwalimu wa Sekondari

Mshahara wa Mwalimu wa Sekondari

Sio kweli kuwa watumishi wote wanaoajiriwa Halmashauri rank za mishahara ni kama ulivyosema.
Unajua kuwa kuna baadhi ya idara degree anaanzia TGS E?
Diploma ni TGTS C
Degree ni TGTS D

Hiyo sio mishahara ya walimu bali ni mishahara ya watumishi wa umma wanao ajiriwa kwenye halmashauri.
 
Sio kweli kuwa watumishi wote wanaoajiriwa Halmashauri rank za mishahara ni kama ulivyosema.
Unajua kuwa kuna baadhi ya idara degree anaanzia TGS E?
ndio,watu wa sheria na masomo ya sayansi,sasa hiyo Tgs E ni sawa na laki 8 na,sasa huo nao ni mshahara au mateso
 
samahani ticha sisi wengine tumeishia la tatu
I'm not a teacher but nimeona kazi kubwa iliyo fanywa nao with grt impact kwenye hii nchi na dunia nzia perhaps all professions ni kazikubwa ya waalimu .....if you find someone talk like that its just like ajielewi
 
nkuulize swali
Jee kwa yote uliosema maticha wanefanya unaona wanachopewa na kupata kina mashiko au wanastahili?
 
Back
Top Bottom